Clouds FM kuweni makini

kibonde nimbea hadi anapitiliza na hao madada zake mwanaume mzima haoni aibu hadi kipindi kimepoteza u maana wake hawana maadili ya habari arudi akatangaze ngumi au kitchen part
 
Mashankupee ..sory! Masharubalo, unatarajia nani akakusanye report kati B12..,Mchonvu ama nani?Kibonde? thy blv in rumours and thy spread it likewise...
 

Bahati mbaya nilikuwa mbali na mtandao. Umenijibia vizuri. Redio ya Umma sikuwa na maana ya kuwa ni redio ya serikali. Umma nina maana public (au kama ulivyosema peoples station) na siyo Government.
 

Haya ni matokeo ya kuajiri watu ambao ni makanjanja kwenye taaluma ya wanahabari. Kimsingi vigezo muhimu havizingatiwi ili kumpata mtangazaji mwenye uwezo wa kutoa na kutangaza habari, kikubwa kwao ni uwezo wa mtu kubwabwaja maneno au kutumia machine za utangazaji. sio redio zinazoaminika hata kidogo maana watangazaji wake wengi ni ganga njaa, hawana uwezo wa kitaaluma na kama wamesomea kidogo basi ni wale wanaoingia kwenye taaluma hiyo ili kuuza sauti na sura si vinginevyo.
 
SIKUDHANI KAMA KUNAMTU MWENYEAKILI ANAENDELEA KUSIKILIZA CLOUDS,
HASA KIPINDI CHA MJINGA kibonde
 
Clouds FM mnaboa sana hasa mnapoleta habari za majumbani mwenu ktk habari muim utani na kejeri vimezidi sana hamko serious kabasa na jahazi ndo hakuna kitu mnaboa sana....kuweni makini wajameni na mpunguze sifa za kijinga lo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…