mzama chumvini
JF-Expert Member
- Mar 14, 2016
- 730
- 642
Sabakher Wadau;
Nimekaa Nalo Moyon Nimeamua Niseme!
Jux Alikuwa Ana Mahusiano Moto Na Mtoto Jack!! Naami Katika Mahusiano Yao Yale Maneno Baby Nakupenda! Siko Tayar Kukuacha! Nitakufa Kwa Ajil Yako Yalikuwepo! Sasa Bahat Mbaya Mtoto Akakamatwa China Na Kufungwa! Ni katika Harakat Za Maisha! Then Ukamuimbia Nitasubir! Nilifurah Sana!
Sasa Baada Ya Hapo Ukazama Kwa Vanesa! Et Ooh! Mim Ckutegemea Kam Anapiga hzo mambo! Sasa Wakat Unaimba nitasubir! Ulikuwa Hujajua bado! Mbona Unaharibu Sifa za Wanaume? Na Kama Ndo Ungekamatwa Wew Demu Angechepuka We Ungemuonaje?
Wanaume Tuwe Na Misimamo Kwa Wanawake Tunaowapenda Na Tukumbuke Ahad Zote Tunazowapa Wanawake!
Mtoto Next Year Anarud! Tena Mupya Maana Haijatumiwa kwa 3 yearz!! Lazima Uumie.