Shoga ni neno lililo pata maan zaidi kwa miaka ya karibuni ilikupunguz amakali ya neno halisi lijulikanalo kama Ms*nge. Neno hili limekua marufu zaidi baada ya hisi ziku za karibuku kuweza ongelewa zaidi kwnye vyombo vya haari, hizi ni maana tofauti za neno Shoga .
Shoga = Urafiki kati ya watu wawili wenye jinsia ya kike (Maana halisia).
Shoga = Wanaume aliye na urafiki na mwanake,uhusiano wa kirafiki zaidi ya uhusiano wa mapenzi,shurti mwanaume huyo awe ni ms*nge ambaye hawezi kuwa na hisia zozote za kingono kwa mwanamke ,kiasi cha mwanamke akiwa nayo anajiona yuko na mwanamke mwenzake na kuweza muita huyu ni shoga yangu. Mwanume huyo lazima awe anapenda mambo ya kike, katika uvaaji, ujirembaji, uongeaji ,utembeaji na hulka zote za kike.
Shoga = Mwanume yeyote aliye ms*nge.(kwa siku hizi zaidi)