Tatizo lao ni ukimwi, sasa kwa vile ukimwi unasabaisha na mataizo ya kiakili basi hayo ndio tunayaona kwenye maongezi yao.
Ukisikiliza Clouds Fm kwa muda mrefu lazima uwe punguani..kuna watangazaji pale uwa nashindwa kuelewa wanafanya nini;
Bonge wa PB
Gerald Hando
Barba Masoud
PJ
Kibonde nk
Huyo ameizindua jamii...kweli yupo mdogo wangu alitembelea mikoa ya Bongo...alisema vijana wengi huamin na kujisifia waisikiapo Hiyo station wajiona ndio wajanja kuliko wengine ...inapelekea wengine waige wenzao.wee nanii bado unawasikiliza hawa wafu?
We aunt taratibu!Mhhhhh nyie wafuasi wa chadema si muanzishe redio yenu! kwani lazima muasikilize clouds. Aaah mnanichosha na malalamiko ya clouds kila siku hapa Jf.