Clouds fm inaliangamiza taifa

wivu wa kike wa kitotoooo donge la pipi ya kijiti!!!
 
Uingereza wamesema tz haitopata msaada wowo,kama haitakubali kuwatambua mashoga,wao lini wataanza promo,sijawaskia nayo ni mambo yao!!
 
Umeona eh! Redio gani watangazaji hawana profesional? Kipindi pekee kinachoelimisha clouds ni njia panda tu. Vingine nyanya
 
Hata kama kuna uhuru wa habari bado Clouds haifai tu,kwa mnaoifagilia endeleeni ila kiukweli pale hakuna kitu na nilishaach siku nyingi wala kwangu akuna ruhusa kusikiliza upuuzi wa redio kama hiyo,ni afdhali nisikilize WAPO FM
 
huwa siwaelewi mnaanza na topic vizuri halafu baadae mnabadili mada !!!!
 
ile radio ina vilaza watupu,
tena hawaelewi hata wanachotamka, puuuuuuuuuu.
 
mm nashindwa kuelewa,kila cku clouds clouds clouds,km huipendi si usisikilize,tune wapo.radio 1,praise power etc.mnaipenda ndo mana mnawasikiliza,na wenyewe wanajuwa hivyo,asilimia 60 ya watu wanaoenda maofisini asbh ama jioni kurudi iwe kwenye daladala ama magari binafsi wanatune clouds,huo ndo ukweli.ndo mana hoja za power break fast na jahazi haziishi humu,
Kwi kwi kwi kwi VIVA CLOUDS
 
Unapokosa ajira sehemu isiwe sababu ya kuanza matusi kuna usemi
unasema "usitukane mamba wakati hujavuka mto" Nakumbuka Tambwe
Hiza alisema "mtu kujiunga na CCM ni sawa na kumuoa mama yako mzazi"

Hakuna Sababu ya kuwashambulia na kuwakandia kiasi hicho kama umeshindwa
bora usikilize redio uhuru, hii chuki si nzuri we unafikiri Watanzania wana muda wa
kusikiliza redio kwa sana kiasi hicho? Maisha yenyewe yako wapi?

Kama unataka sikiliza hutaki kaa kando au sikiliza TBC taifa!
 
duh bado unawasikilizaga hawa jamaa shauri yako
 
Ukisikiliza Clouds Fm kwa muda mrefu lazima uwe punguani..kuna watangazaji pale uwa nashindwa kuelewa wanafanya nini;
Bonge wa PB
Gerald Hando
Barba Masoud
PJ
Kibonde nk

Mi nawazimia sana hao wote uliowataja. they always make ma day!!!! keep it up guys!!
 

Mhhhhh nyie wafuasi wa chadema si muanzishe redio yenu! kwani lazima muasikilize clouds. Aaah mnanichosha na malalamiko ya clouds kila siku hapa Jf.
 
wivu wa kike wa kitotoooo donge la pipi ya kijiti!!!

N haibu kuwa na chombo cha habar ambacho cku nzma hakiongelei suala la kuijenga nch yetu maskn hv..km vyombo vya habar vngekua vnahmiza vjana wasome na kufanya kaz kwa bdii hawa vjana wangeelewa na kua hvyo..Lakn hch kredio knafundsha Ushalabalo ambao unafanya vtoto vnafel vnabak na vsifur vyao mitaan..Nngekua na uwezo nngejtoa mhanga hapo nkalipulie mbal..Mkia wao..wanaharbu taifa la nyerere
 
hiki kredio uchuara knachochangiana na nchi za nje kuharbu taifa il waje kututawala n cha nan?..knajaza mawimbi hewan tuu..Ndo maana alkua anakataza vyombo huru vya habar maana aljua athar zake..Nitumen nikajtoe mhanga pale 2katekeze kabsa maana 2kfuata sheria watatoa rushwa..Watanzania wenzangu hamjui athar za redio ITEREHEMWE ya Rwanda?..ZIFUNGIWE hz redio uchuara
 
Nyerere alkua ana akil sana..Nch za wenzet hakuna redio za uchuara wala magazet ya udaku wakja kwe2 huwa wanakosa magazet yanayohusu kujenga nch km ya kwao..Cku nkckia imefungiwa h redio na kupewa taasis yoyote ya mazngra au klmo il iitumie kuelmisha watanzania maana ndio k2 kinachotakiwa ntafurah sn...
 
hawa ni viraza tu twaache na siasa za kudandia na kubeza watu awana tofauti na magazeti ya shigongo
 

We nae c walewale.
 
Clouds wakitaka tuwaone wa maana wapige nyimbo za ANT-VIRUS VOL ONE NA TWO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…