UMEMALIZA KILA KITU na HUO NDIYO UKWELI WENYEWE na TUACHE UNAFIKI na UZANDIKI. Radio Nyingi Zinasubiri Kwa Clouds FM Japo na Wao Wana Changamoto ambazo Zinarekebishika Endapo Na Wao Watakubali Kurekebishika na Tusisahau Kuwa Contents Nyingi Za Redio hii Ni Haswa Youth Oriented na Target Yao Kubwa Ni ktk Cities na Wamefanikiwa Sana. Mnasema Kuwa Redio Yenyewe ni Pro CCM mara Kibonde ni Mnafiki ila Naomba Mniambie ni Redio Gani hapa Tanzania Haijipendekezi Kwa Serikali au Waandishi Wake Hawana Kimbelembele Kwa Utawala Uliopo? Mbona Hamzungumzi Waandishi Wale wa Redio One Na Yule Wa Gazeti Walioteuliwa Wakuu Wa Wilaya? Je hao Hawajipendekeza Kwa Serikali? Tizama Kila Alhamisi Kipindi cha Kipima Joto ITV Na Angalia Studioni Wakiwemo Watu Hawa Fatma Almasi Nyangasa na Magreth Cosmas Kisha Akijitokeza tu Mtu Anaisema Vibaya Either CCM au Serikali Utawaona Wanavyowakatisha na Hata Kuwapiga Mkwara Wachangiaji Kwa Kuwaonya. Sidhani Kama Kuisema Pekee Clouds FM Kuna Tija Vinginevyo Ninachokiona Ni Unafiki na Chuki Zisizo na Mashiko Yoyote. Hakuna Media Hapa Tanzania Ambayo Haina Madhaifu Yake Ukianzia ktk Public Owned, Private Owned, Community Owned, Institution Owned na Structural Adjusted or Alternative Owned Radio Stations na Kama Wadau Tunachotakiwa Kufanya Ni Kuziunga Mkono Pale Zinapofanya Vizuri na Pia Ndugu Zangu Humu JF Hebu Tujifunze Kufanya Kitu Kiitwacho Critique Nikimaanisha Kwamba Tusipende tu Kukimbilia ktk Kutoa Kashfa badala Yake Tuelezee Mafaniko Ya Jambo au Kitu Fulani Lakini Palipo na Changamoto au Madhaifu Tuziseme Kwa Mtazamo wa Kujenga Zaidi na Si Kurudishana Nyuma. Ni Hayo Wana JF Wenzangu and I am Stand to be Corrected.