Clouds acheni unafiki kwenye mambo ya kitaifa

Clouds acheni unafiki kwenye mambo ya kitaifa

yaaani unasikiliza clouds unaakili kweli..??? sikiliza radio za mengi, capital radio, redio one.
 
Hujui kuwa ni ya kampuni yenye connection na beneficiaries wa Escrow??
 
Kama wanadhani huu mjadala hauna manufaa kwao wasingerusha matangazo hayo eti tu kwamba ni chombo binafsi. Nawe acha hypocrisy kwenye mambo ya kitaifa

Matangazo ya biashara ndio uhai wa radio yao. Unadhani wanapata ruzuku kutoka serikalini?
 
We vitu silliasi namna hii unasikiliza kupitia Clouds? we mwenyewe ni tatizo inabidi ubadilike kwanza wewe,hao hawako silias na mambo ya maana,mambo yao ni ya udaku udaku, umbea na uchochezi.
Achana nao na badilika kuanzia sasa!

huku ipo hiyo tu radio 1 hakuna
 
Si lazima kurusha hayo matangazo maana ni kituo binafsi!
 
hata siku moja mambo serious ya kitaifa usisikile clouds ukitaka kusikiliza upumbafu tune in to clouds
 
Back
Top Bottom