Clouds acheni unafiki kwenye mambo ya kitaifa

Clouds acheni unafiki kwenye mambo ya kitaifa

ukara

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
284
Reaction score
168
Mnakera hadi kinyaa kukata matangazo ya moja kwa moja bungeni. Yaani John Cheyo anazungumza ninyi mnaweka matangazo?! SHAME ON YOU
 
Mkuu sikiliza Radio One achana na hao watumwa wa mawazo.
 
Clouds FM ni wapumbavu tu...utawala ukibadilika watapotezwa sokoni wangese hao
 
Mnakera hadi kinyaa kukata matangazo ya moja kwa moja bungeni. Yaani John Cheyo anazungumza ninyi mnaweka matangazo?! SHAME ON YOU
Usifundishe kuendesha vipindi vyao bana hujui kuwa matangazo ndiyo yanaendesha redio?
 
Hata wwatangazaji wao hjawako serious na hiyo redio si ya wale wa kulekule waliogawana huo mzigo
 
Clouds FM ni wapumbavu tu...utawala ukibadilika watapotezwa sokoni wangese hao
Haya ndiyo hatuyataki kabisaaa katika nchi yetu. Mambo ya visasi huko huko, unafikiri Redio Clouds hawako kisheria mpaka uwapoteze?
 
Hii ni redio binafsi na iko kibiashara msiwapangie cha kufanya.

Kama wanadhani huu mjadala hauna manufaa kwao wasingerusha matangazo hayo eti tu kwamba ni chombo binafsi. Nawe acha hypocrisy kwenye mambo ya kitaifa
 
Hata wwatangazaji wao hjawako serious na hiyo redio si ya wale wa kulekule waliogawana huo mzigo
Ukisema hivyo basi ITV na Redio One ni feki zaidi, MENGI anavitua vibaya sana vyombo vyake kuwanyanyasa watanzania wasiyo wachagga
 
Haya ndiyo hatuyataki kabisaaa katika nchi yetu. Mambo ya visasi huko huko, unafikiri Redio Clouds hawako kisheria mpaka uwapoteze?

You wait and see...hawa wapumbavu hawako kwa maslahi ya watanzania...wako kwa maslahi ya CCM...CCM ikiondoka na wao lazima waondoke
 
  • Thanks
Reactions: BAK
We vitu silliasi namna hii unasikiliza kupitia Clouds? we mwenyewe ni tatizo inabidi ubadilike kwanza wewe,hao hawako silias na mambo ya maana,mambo yao ni ya udaku udaku, umbea na uchochezi.
Achana nao na badilika kuanzia sasa!

asante mkuu. point noted
 
Back
Top Bottom