Kwenye ubunge matajiri hawafati hela isipokuwa na wanataka kuwa na access ya kulinda biashara zao, mfano ukiwa mbunge unaweza kumpigia simu direct PM lakini RC hawezi kumpigia direct PM mpaka aombe kwa katibu wake. Dewji, Rostamu, Abood wote hawa wanapesa lakini wanataka kulinda maslahi yao, pia sheria zinazotungwa lazima ziwe na unafuu kwenye biashara zao mkuu.