Katibu Tawala = Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya.Tokea mheshimiwa Rais kujitambulisha katika kipindi hicho na hasa kuchukuliwa mtangazaji wake ,Hudson Kamoga, kuteuliwa kuwa katibu tawala huyu jamaa Hassan Ngoma anaota kupata uteuzi. Sidhani kama mheshimiwa Rais atafanya hivo tena licha ya kuwa ni mpenzi wa kipindi hicho. Ngoma jaribu kuchangia 'fairly' katika hoja.
Hizo fursa wanazowaonyesha watu, kwa nini wasianze wao kwanza wafanikiwe na sisi tuige?Hassan Ngoma nilimuona mjinga toka siku ya kwanza nilipomuona kwenye semina ya fursa shinyanga, wakati anajitambulisha alisema akija kuongea atatuelezea namna ya kuanzisha biashara with zero budget
Alichokuja kukiongea sitakaa nisahau ule muda nilioupoteza kwenye ule ukumbi
Ok mkuuAksante kwa usahihi maana mie kwenye mambo hayo kidogo nimeponyoka.
Na wewe utakuwa kilaza kuhudhuria semina ya namna hiyo, with zero budget? May be udalali/upiga debe/utapeliHassan Ngoma nilimuona mjinga toka siku ya kwanza nilipomuona kwenye semina ya fursa shinyanga, wakati anajitambulisha alisema akija kuongea atatuelezea namna ya kuanzisha biashara with zero budget
Alichokuja kukiongea sitakaa nisahau ule muda nilioupoteza kwenye ule ukumbi
Hassan Ngoma ni zero kabisa , sijawahi kuona points zake kwenye 360, heri hata Bebi na Sam kidogo!Tokea mheshimiwa Rais kujitambulisha katika kipindi hicho na hasa kuchukuliwa mtangazaji wake ,Hudson Kamoga, kuteuliwa kuwa katibu tawala huyu jamaa Hassan Ngoma anaota kupata uteuzi. Sidhani kama mheshimiwa Rais atafanya hivo tena licha ya kuwa ni mpenzi wa kipindi hicho. Ngoma jaribu kuchangia 'fairly' katika hoja.
Wazungumzaji walikuwa wengi akiwemo yeye sema Hassan Ngoma alijikita kuzungumzia kwenye kile alichokiita namna ya kuanzisha biashara with zero budgetNa wewe utakuwa kilaza kuhudhuria semina ya namna hiyo, with zero budget? May be udalali/upiga debe/utapeli
Lakini Wafanyakazi Wa Clouds 80% Wana Miradi Yao Na Inafanya Vizuri.Hizo fursa wanazowaonyesha watu, kwa nini wasianze wao kwanza wafanikiwe na sisi tuige?
Ni kweli anayekuonyesha hizo fursa yeye ni mtangazaji, kwanini asiache utangazaji afanye azifuate hizo fursa?Haina tofauti na waganga wanaotangaza dawa ya kukufanya uwe tajiri kwa malipo ya kumpatia kuku.
Siamini sana, mradi ukifanikiwa unahitaji kufanywa na watu wengi (zaidi ya mmoja), je hawa miradi yao inasimamiwa na nani?Lakini Wafanyakazi Wa Clouds 80% Wana Miradi Yao Na Inafanya Vizuri.
Huyu anazungumzia u-MC labda nao ni mradi...Siamini sana, mradi ukifanikiwa unahitaji kufanywa na watu wengi (zaidi ya mmoja), je hawa miradi yao inasimamiwa na nani?
Uko sawa kbs kwa hilo Mkuu, uongozi umeziba nafasi tu, au kumfanya Bebi asiwe mpweke baada Kamoga kuondoka, lkn kwa swala la kazi ni negativeUongozi umeziba nafasi tu lakini sio mtu sahihi katika kipindi hicho.
Hata mimi nilitaka kumwambia hivyoHuyu anazungumzia u-MC labda nao ni mradi...