Mkuu Niko makini sana,hapa jukwani kuanzia mwez 4 na kuendelea hakuna ajira yeyote ilitangazwa hapa,naamn wadau wapo na wanauwezo wa kusaidia, asante kwa comment yako nzuriSawa
Hapa Hapa Utapata Connection
Serikali Inatangaza Sana Nafasi Za Fani Yako
Jitahidi Uombe, Jukwaa Hili Zometangazwa Nyingi Sana
Chief, soko limekuwa gumu mno kwa sasa. Uwepo wa MDโs wengi mtaani unapelekea COโs kukaa juu ya mawe.Kwa fani yako tu na ujuzi ulionao,tembelea hospitali 5 za private,zilizopo katika mazingira magumu...utapata kazi
MkuuMkuu Niko makini sana,hapa jukwani kuanzia mwez 4 na kuendelea hakuna ajira yeyote ilitangazwa hapa,naamn wadau wapo na wanauwezo wa kusaidia,asant kwa comment yako nzuri
Nashauri arudi kijijini,huko pia kuna hospitali na ushindani ni mchacheChief, soko limekuwa gumu mno kwa sasa. Uwepo wa MDโs wengi mtaani unapelekea COโs kukaa juu ya mawe.
๐๐๐๐ ๐๐๐คฃ๐คฃNashauri arudi kijijini,huko pia kuna hospitali na ushindani ni mchache
Asant kwa ushauriKwa fani yako tu na ujuzi ulionao,tembelea hospitali 5 za private,zilizopo katika mazingira magumu...utapata kazi
Sawa mkuuMkuu
Jukwaa Hili Mwezi Wa Saba Zimewekwa Nafasi Nyingi Sana, Kutoka Kwa Mods Anaweka Sema Husomi Hizo Nafasi
Morogoro Kuna Hospital Ilitangaza
Ni kweli mkuuChief, soko limekuwa gumu mno kwa sasa. Uwepo wa MDโs wengi mtaani unapelekea COโs kukaa juu ya mawe.
Mjumbe tupe connection aisee[emoji3][emoji16][emoji23][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787]
Wajumbe Nuksi!!