Clinical officer GPA 2.7 nataka kusoma MD

Twyn

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2020
Posts
993
Reaction score
551
Clinical officer ana GPA ya 2.7 anataka kusoma MD afanyaje..?! Au kozi gan nyengine anaweza kusoma?
 
Kazi kweli kwelii yaani.

Sijui sijui sijui.
 
Ili usome degree yoyote lazima uwe na gpa ya 3.0 na kuendelea ngazi ya dip
 
Clinical officer ana GPA ya 2.7 anataka kusoma MD afanyaje..?! Au kozi gan nyengine anaweza kusoma?
Kamwambie akalale geto na dem wake. Ye chuo alkuwa anafanya nn hadi apate GPA ya kidwanzi hivo. Nyambafu sana
 
wewe una ya ngapi?

[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Kwa kuwa una GPA below 3, haupo eligible kwa tz kupata chuo kwa ngaz ya degree, cha kufanya Open University wanatoa Foundation course kwa wenye GPA chini ya 3 kwa ngaz ya diploma so unasoma then ukipata GPA 3 na kuendelea ndo upo eligible kusoma Degree course.
Cha pili MD ina competition kubwa sana so nafas yake kuipata ni ndogo sana ikiwemo na kozi zingine za afya! Tafuta kozi ambazo competition ipo ndogo kama Katibu wa afya, environmental health nau zinginezo unaweza kusoma hizo baada ya kumaliza hiyo foundation kozi ya Open
 
Vipi kuhusu hii katibu wa afya ajira zake haisumbui.?au nieleweshe kuhusu hii kozi
 
Siku hizi karibia sekta zote ajira ni ngumu mkuu,
jitahid pia tu kutafuta kozi ambazo unaweza kujiajir pia pale unapomaliza chuo
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kama amesoma CO chuo cha serikali hio GPA kajitahidi sana mazee[emoji119]

Yan wewe jamaa uliekoment hii nakupongeza sana unajuaa...[emoji122][emoji122]
 
Kwa kuwa una GPA below 3, haupo eligible kwa tz kupata chuo kwa ngaz ya degree, cha kufanya Open University wanatoa Foundation course kwa wenye GPA chini ya 3 kwa ngaz ya diploma so unasoma then ukipata GPA 3 na kuendelea ndo upo eligible kusoma Degree course.
Cha pili MD ina competition kubwa sana so nafas yake kuipata ni ndogo sana ikiwemo na kozi zingine za afya! Tafuta kozi ambazo competition ipo ndogo kama Katibu wa afya, environmental health nau zinginezo unaweza kusoma hizo baada ya kumaliza hiyo foundation kozi ya Open

Kabla ya kuanza kusoma foundation aulize TCU kwanza kama course anayotaka kusoma inapokea watu wa foundation course, nnavyofahamu mimi hakuna course ya afya wanayochukua watu waliopitia foundation course ya OUT.
 
Back
Top Bottom