Clinical medicine,diploma/certificate

Clinical medicine,diploma/certificate

kaluka

Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
60
Reaction score
2
Wakuu naombeni msaada mm nmechagua certificate ya clinical medicine ingawaje nna vgezo vya diploma., je endapo nitachaguliwa naweza kibadili ktoka certificate kwenda diploma!!!!!????? nina B: BIOLOGY, C: CHEMISTRY na D: PHYSICS nlimaliza form 4, 2011
Natanguliza shukrani
 
Ukishachaguliwa hapo ndo haitawezekana. Ila kwa sasa unaweza kuingia kwenye profile yako na ku-edit chaguzi zako kama uliapply kwa njia ya online.
 
vp wadau kwa physics-F,chem-C,bios-D,math-D na geog-D...koz gan napata kwa afya?
 
vp wadau kwa physics-f,chem-c,bios-d,math-d na geog-d...koz gan napata kwa afya?

mdogo wangu hapo kwenye physics ndio umeharibu angalau ungekuwa ata na e' lakini f imekuharibia ..
Jaribu kuomba certificate ya nursing uku unarisiti physcs..
 
Mkuu hiyo course ni ngumu kweli kupata sio rahsi kiivo especially government institute wakikuselect hata hiyo certificate ushukuru sana
 
Mwananyoro
Health aid unapata ata nursing unapata.
 
Back
Top Bottom