Clinic officer v/s Diploma in Nursing

yeah mfano KCMC ma CO wengi wanachukua MD msingi baada ya CO 3yrs unapiga kazi 2yrs then MD 6yrs
 
well,maelezo haya yanaonyesha ukweli na uhalisia kuwa ni ngumu co kumfikia nes wa diploma au degree ata siku moja!Zaidi labda nijue leo bt cjawah sikia amo,co(paramedical) kawa md!Naomba ufafanuzi!

Wapo wengi sana AMO to MO(MD) na CO to MO.Achilia mbali hao niliowataja,hata wenye Dip ya Radiography,Nurse ama Medical lab kama wana principle pass PCB(A level) wanaweza kusoma MD.Ninawafahamu kadhaa wanaosoma sasa wakiingia na Dip in Radiography.Jaribu kutembelea vyuoni kwani nayo ni njia nzuri ya kukupa changamoto mpya na exposure pia usije ukajikuta u kijana lakini una mawazo mgando

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ni kweli mkuu umesema hakika.Mimi niliwahi kujiuliza,hawa wanaotengeneza mitaala ya hizi level za dip.sijui wanafanya makusudi ama hawaelewi kwani ni jambo la kawaida kabisa kukuta mitaala ya certificate mf ya maabara ama pharmacy inatofauti ndogo mno na ya dip.lakini wakati huo huo zinatofauti kubwa mno na digrii.Unakuta mtu kasoma certificate miaka 2 halafu anaenda dip anasoma miaka 3 mambo yale yale ila akifika level ya digrii ya 1 muziki unabadilika mno.Hata hivyo wakati mwingine haya mambo hutokana na historia ya hii medical field.Waanzilishi wake wengi walikuwa wachawi(traditional healers).Wengi walitamani kuabudiwa na kujiona wana uwezo wa pekee sana ambapo kuufikia ni lazima uhangaike hata pale ambapo hakuna ulazima huo.Unaweza kuchukulia mf Muuguzi akisoma certificate ni miaka mitatu,diploma miaka minne,digrii miaka mitatu hadi minne.Ila ukitafuta sana tofauti ya kazi kati ya mwenye dip na digrii huioni kabisa.Ni sawa na kuanzisha digrii za house keepers!kama ni kuosha vyombo wataosha wote,kama ni kutandika vitanda wote watatandika aliyesoma na asiyesoma!Labda mambo ya ukwasi tu


Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
kaka/dada we ni noma Jukwaa la elimu lingekuwa na watu kumi kama ninyi tungekuwa mbali sana
 

Nafikiri hujanielewa co ninayemuongelea ni yule hajakidhi qualifications za kuchukua MD,ndo maana nikashauri kurudia mitihani,maana kama amefauru vizuri kwa nini ahangaike na co badala ya kwenda MD moja kwa moja,kuna vyuo vingine sasa wanachukua mpaka div.three za pcb wanachukua MD,mfano.kcmc namjua yuko jamaa aliingia na three. vile yeye kasema ni form four huyo co inamtosha kuanzia.
 
soma co ndugu,ina adv nyng,ni multpurpose,waweza fanya kaz zahanat had hospital kubwa,kwa taarifa 2 unapokwenda hosp yeyote kutibiwa m2 wa kwanza kumueleza waumwa nin ni co,ajira ziko za kutosha,na mshahara mzur pia,co inauwanja kubwa wa kujiajir mwenyew,na alwayz ma md's wazur weng wamepitia co.nurse ni m2 mdogo katika kada za afya na jamaa wajuu alisahau tu nurse kama nurse ni mshahara sawa na co tena co kampita kidogo,ila kuna nurse wanasoma miaka minne wanasoma nurse na midwives hao ndo wanasary nzur kidogo
 
Nina qualifications zote za kuisoma hii ndoto yangu but poverty kills my dreams,hope ningepata mtu tuweke contract..!!!
 
Govt inatoa kwa Undergraduates pekee bt siyo diploma that am qualifying for.
 

siyo kweli kuwa co utamkuta kila hospital,nenda referal hospita kama muhimbili au bugando kama utakutana na co,never.
kwenye hospital za wilaya na mikoa ndio utawakuta maco na ndio wa kwanza kumuona mgonjwa(first on call)hakishindwa anamwita daktari (AM0 AU MD) kama second on call.
na wala pia usijindaganye kuwa mds wazuri wamepitia co,cha muhimu ili uwe daktari mzuri ni kufuatia misingi/discipline bila kujalisha umepitia co before au fresh from school(form6)
tena maco wengi wana disadvantage moja ya kutotaka kubadilika,kile walichojifunza wakiwa co ndicho wanang'ang'ania.
 

ebu soma kwa makini kwenye bluu ulivyomaamisha
kwamba before kuchukua md kwa co kuna sharti upitie AMO(ie,CO---AMO----MD)
otherwise ulekebishe apo
 

sawa mkuu lakini haukumaanisha hivi kwenye post yako no 30(isome tena ulivyoandika) otherwise its ok
 
ebu soma kwa makini kwenye bluu ulivyomaamisha
kwamba before kuchukua md kwa co kuna sharti upitie AMO(ie,CO---AMO----MD)
otherwise ulekebishe apo
Mkuu MOES uliniaidi juma 3 utanitemea mzigo wote kuhusu medical labaratory technician analiKwa sh ngapi kuanzia ngazi ya diploma hadi degree au umenisahau mkuu?
 
Mkuu MOES uliniaidi juma 3 utanitemea mzigo wote kuhusu medical labaratory technician analiKwa sh ngapi kuanzia ngazi ya diploma hadi degree au umenisahau mkuu?

nimekupm.
 

Umenena Mkuu!!
 

Saluti kwako !!
 
Kaka Unaijua Vizuri PCB Under Extreme Poverty.Nilipata 17.Dats y nikaona C.O nakidhi VIGEZO.NOTHINWORSE LIKE POVERTY.
 
Kaka
mbu

Kaka hii trend yako ya zamani lakini Leo naisoma tena, naomba kama hutojali unipe namba yako kwenye 0719706568.

Nitumie hata msg nitakupigia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…