Clinical officer hutibu wagonjwa wakati Nurse(muuguzi)huuguza(hutunza)wagonjwa kwa kutekeleza kile kilchoandikwa na clinician.
Clinical officer huwa kiongozi asipokuwapo daktrari(MO au AMO) wakati muuguzi hata kama ana digrii mbili kama tu ni za uuguzi,lazima awe chini ya CO
CO anasoma miaka mitatu wakati Nurse anasoma miaka minne
CO na Nurse wote wakiwa na dip.Nurse huwa na mshahara mkubwa kidogo kuliko CO
Wagonjwa humheshimu zaidi CO kwa kudhani ni msomi zaidi kuliko Muuguzi
Ili usome CO kwa sasa unatakiwa uwe na ufaulu mkubwa kidogo angalau div 2 ya F.4 ama F.6 with science esp PCB,CBG lakini ili uwe muuguzi lazima uwe na ufaulu masomo ya sayansi na Eng na Math kwa angalau div 4 ya pts 26 ama F.6
CO anafanya kazi chache na rahisi kuliko Muuguzi ambaye hufanya kazi nyingi na kwa masaa mengi zaidi
Muuguzi anaweza kujiendeleza katika fani mbali mbali ikiwemo za uongozi sawa sawa na CO
Muuguzi anaweza kufanya kazi zahanati,kituo cha Afya,hadi hospitali za rufaa wakati CO hawezi kufanya kazi hospitali ya rufaa.
KAZI KWAKO
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Namikubari sana wewe na mkuu moes katika kuchambua thread za afya humu jamvini pongezi kwenu wakuu.ila mkuu umenitia wasiwasi kwamba ili mtu asomeClinical officer hutibu wagonjwa wakati Nurse(muuguzi)huuguza(hutunza)wagonjwa kwa kutekeleza kile kilchoandikwa na clinician.
Clinical officer huwa kiongozi asipokuwapo daktrari(MO au AMO) wakati muuguzi hata kama ana digrii mbili kama tu ni za uuguzi,lazima awe chini ya CO
CO anasoma miaka mitatu wakati Nurse anasoma miaka minne
CO na Nurse wote wakiwa na dip.Nurse huwa na mshahara mkubwa kidogo kuliko CO
Wagonjwa humheshimu zaidi CO kwa kudhani ni msomi zaidi kuliko Muuguzi
Ili usome CO kwa sasa unatakiwa uwe na ufaulu mkubwa kidogo angalau div 2 ya F.4 ama F.6 with science esp PCB,CBG lakini ili uwe muuguzi lazima uwe na ufaulu masomo ya sayansi na Eng na Math kwa angalau div 4 ya pts 26 ama F.6
CO anafanya kazi chache na rahisi kuliko Muuguzi ambaye hufanya kazi nyingi na kwa masaa mengi zaidi
Muuguzi anaweza kujiendeleza katika fani mbali mbali ikiwemo za uongozi sawa sawa na CO
Muuguzi anaweza kufanya kazi zahanati,kituo cha Afya,hadi hospitali za rufaa wakati CO hawezi kufanya kazi hospitali ya rufaa.
KAZI KWAKO
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
good explanations,
kuongezea kidogo, co anaweza kusomea digrii ya udaktari(md),nurse with diploma anaweza somea bachelor in nursing au bachelor of science in nursing(kufundisha)
Namikubari sana wewe na mkuu moes katika kuchambua thread za afya humu jamvini pongezi kwenu wakuu.ila mkuu umenitia wasiwasi kwamba ili mtu asome
Clinical officer lazima awe na div 2 Kwa for
m 4 hasa mi nina div 4 point 26 nimeomba co wizara ya afya Kwa bios c chem c phy d engl d na math f.uliposema div 2 nimeshtuka kweli mkuu
Poa mkuu vp contact tuwasiliane zaidi mkuu.kama zali ni lako unapata hvyo ndo vigezo!Pia unaweza kuja kusomea diploma ya dential therapist-matabibu wa meno!If utakuwa tayari nicheck!
Namikubari sana wewe na mkuu moes katika kuchambua thread za afya humu jamvini pongezi kwenu wakuu.ila mkuu umenitia wasiwasi kwamba ili mtu asome
Clinical officer lazima awe na div 2 Kwa for
m 4 hasa mi nina div 4 point 26 nimeomba co wizara ya afya Kwa bios c chem c phy d engl d na math f.uliposema div 2 nimeshtuka kweli mkuu
Hakuna degree ya co mkuu!Co inaishia diploma,pia co na nursing,diploma ya nursing ni c ya bios na chemistry na d ya physics kama hauna physics njoo uliza hapa chuoni watu walivykataliwa na wizara mwaka jana na kusababisha majanga!Pia nurse anauwezo wakufanya kazi popote duniani wakati co ni fani iliyopo tanzania tu,tunaita paramedical!
Nesi na dokta! Hujui tofauti?
Labda awe alifaulu vizuri form 6 ndo ataweza kuunganisha direct kutoka CO kwenda Md. Vinginevyo atatakiwa kwenda kusomea AMO (Assistant Medical Officer)good explanations,
kuongezea kidogo, co anaweza kusomea digrii ya udaktari(md),nurse with diploma anaweza somea bachelor in nursing au bachelor of science in nursing(kufundisha)
Namikubari sana wewe na mkuu moes katika kuchambua thread za afya humu jamvini pongezi kwenu wakuu.ila mkuu umenitia wasiwasi kwamba ili mtu asome
Clinical officer lazima awe na div 2 Kwa for
m 4 hasa mi nina div 4 point 26 nimeomba co wizara ya afya Kwa bios c chem c phy d engl d na math f.uliposema div 2 nimeshtuka kweli mkuu
Clinical officer hutibu wagonjwa wakati Nurse(muuguzi)huuguza(hutunza)wagonjwa kwa kutekeleza kile kilchoandikwa na clinician.
Clinical officer huwa kiongozi asipokuwapo daktrari(MO au AMO) wakati muuguzi hata kama ana digrii mbili kama tu ni za uuguzi,lazima awe chini ya CO
CO anasoma miaka mitatu wakati Nurse anasoma miaka minne
CO na Nurse wote wakiwa na dip.Nurse huwa na mshahara mkubwa kidogo kuliko CO
Wagonjwa humheshimu zaidi CO kwa kudhani ni msomi zaidi kuliko Muuguzi
Ili usome CO kwa sasa unatakiwa uwe na ufaulu mkubwa kidogo angalau div 2 ya F.4 ama F.6 with science esp PCB,CBG lakini ili uwe muuguzi lazima uwe na ufaulu masomo ya sayansi na Eng na Math kwa angalau div 4 ya pts 26 ama F.6
CO anafanya kazi chache na rahisi kuliko Muuguzi ambaye hufanya kazi nyingi na kwa masaa mengi zaidi
Muuguzi anaweza kujiendeleza katika fani mbali mbali ikiwemo za uongozi sawa sawa na CO
Muuguzi anaweza kufanya kazi zahanati,kituo cha Afya,hadi hospitali za rufaa wakati CO hawezi kufanya kazi hospitali ya rufaa.
KAZI KWAKO
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Hakuna degree ya co mkuu!Co inaishia diploma,pia co na nursing,diploma ya nursing ni c ya bios na chemistry na d ya physics kama hauna physics njoo uliza hapa chuoni watu walivykataliwa na wizara mwaka jana na kusababisha majanga!Pia nurse anauwezo wakufanya kazi popote duniani wakati co ni fani iliyopo tanzania tu,tunaita paramedical!
Diploma ya nursing ni bora. Ukiwa co ni kweli utakuwa na jina kubwa lakini kilaza. Utaishia kuandika "dr to review " kwasababu ya uelewa wako kuwa mdogo sana. Hakuna CO wa division II iwe f4 hata f6.
hakuna degree ya co mkuu!co inaishia diploma,pia co na nursing,diploma ya nursing ni c ya bios na chemistry na d ya physics kama hauna physics njoo uliza hapa chuoni watu walivykataliwa na wizara mwaka jana na kusababisha majanga!pia nurse anauwezo wakufanya kazi popote duniani wakati co ni fani iliyopo tanzania tu,tunaita paramedical!