o_2
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 431
- 388
Habari za muda huu mdau wa soka la bongo.
Moja kwa moja kwenye mada bila kupoteza muda. Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Huyo bwana mdogo ni mmoja kati ya wachezaji wenye uwezo mkubwa sana uwanjani. Akili jumlisha na maarifa. Sifa zote za kiungo mshambuliaji anazo, kuanzia kwenye kupiga pasi, kukaba, kumiliki mpira. Kifupi hajawahi kuniangusha.
Bahati mbaya soka letu la bongo kivyetuvyetu lina mambo yake. Leo hii bwana mdogo huyu angekuwa anacheza moja ya timu pendwa hapa nchni jina lake lingeimbwa sana. Angeitwa majina yote.
CLEOPHACE MKANDALA anacheza kwenye "first eleven" ya simba , anacheza kwa Yanga. Anacheza kwenye timu zote Afrika mashariki na kati.
Anyway tuendelee kutazama yaliyomo.