Classmate kaniteka akili zangu

Ntumie number yake nimuelezee hisia zako kwake, naona bado una zile element za u class ment nae, yeye akishakuelewa haina shida kazi kwakoo
 
Watu wengine bwana, mnataka kula mb za watu tuu
 
Period..umemaliza mkuu
 
The Law of Karma...
 
Ana mpenzi wake lakini bado anakuelewa! Ingekuwa hakuelewi ningekushauri umfuatilie, otherwise wewe ndo umezubaa mwenzako anatoa part time.
 
umeongea kwa busara hadi raha. halafu nikapata wazo umesikia maumivu kweli yani kitendo anataka kufanya.
 
umeongea kwa busara hadi raha. halafu nikapata wazo umesikia maumivu kweli yani kitendo anataka kufanya.
[emoji120]
Maumivu nayajua kwa kweli!
Huyu jamaa ana angalia upande wake tu, ana sahau, kuwa mwenzie ata umia.
Siku zote ukiwa hujapitia shida unakuwa una jifikiria wewe tu.
 
[emoji120]
Maumivu nayajua kwa kweli!
Huyu jamaa ana angalia upande wake tu, ana sahau, kuwa mwenzie ata umia.
Siku zote ukiwa hujapitia shida unakuwa una jifikiria wewe tu.
Am with u hundred paceee
 
Mkuu huyo mwanamke una mpango wa kumuoa?
 
unaweza toa Ushauri Jamaa akomae na demu,kumbe unamshauri kugongwa kwa demu wako...nikae kimya Mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…