ENDELEA KUWA WHATSAPP GROUPMATE MAANA NDIPO AMBAPO UFAHAMU WAKO ULIPOKOMEA.......Kuna dem nilisoma nae chuo, Nilikuwa nampenda sana sasa kutokana na hali yangu na yake sikuweza kujiongeza kwake, leo hii niko nae Kwenye kundi moja la whatsapp ... najaribu kumwelezea hisia zangu juu yake ananielewa ila TATIZO ANA JAMAA YAKEE...
Nifanye nn mm na mtoto nnampenda sanaa
Jibu simple
Chukulia wewe una demu wako halafu kuna jamaa, alikuwa ana mpenda lakini hakumwambia ikafika siku wakaonana basi huyo jamaa naye aka mwambia demu wako kuwa ana mpenda, demu wako akawa ana muelewa ila tatizo likawa ni YUKO NA WEWE, unge wish demu wako afanyanje!!?
Ukisha pata jibu, igeuze stori irudishe kwako fanya ambacho ungewish kitokee
*vile ambavyo ungetaka wewe utendewew basi watendee na wengine vivyo hivyo.
Wise wordsVijana wengi wanapenda kuvuna na kuyafurahia mavuno....lakini hawapendi kujua kuwa nyuma ya utamu wa mazao na mavuno kuna jasho la damu ya mkulima.......
Usimtishe mkuu.. We dogo ng'ang'ania mzigo huo mpaka uutafune.... Mademu wanagia zao za kukupima... Moja wapo ni hiyo ya kusema kuwa nafasi imeshawahiwa...Jibu simple
Chukulia wewe una demu wako halafu kuna jamaa, alikuwa ana mpenda lakini hakumwambia ikafika siku wakaonana basi huyo jamaa naye aka mwambia demu wako kuwa ana mpenda, demu wako akawa ana muelewa ila tatizo likawa ni YUKO NA WEWE, unge wish demu wako afanyanje!!?
Ukisha pata jibu, igeuze stori irudishe kwako fanya ambacho ungewish kitokee
*vile ambavyo ungetaka wewe utendewew basi watendee na wengine vivyo hivyo.
Ahsantee nimekuelewa mkuu ila mtoto me Ananichanganyaa balaaJibu simple