F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Nov 20, 2013 #2 Wacha we........rangi za garden zinavutiaaa..
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Nov 20, 2013 #3 Hata mlitaka kuachana na mke au mme mkibahatika kufika hapo lazima msameheane bila vikao vya ukoo...Lol!
Hata mlitaka kuachana na mke au mme mkibahatika kufika hapo lazima msameheane bila vikao vya ukoo...Lol!
N ngonani JF-Expert Member Joined Aug 27, 2012 Posts 1,366 Reaction score 598 Nov 20, 2013 #4 Lakini ni picha ya kuchora
K KABAZI JF-Expert Member Joined Apr 19, 2010 Posts 303 Reaction score 11 Nov 20, 2013 #5 gharama za kuitunza hiyo ili iwe hivyo, huku kwetu unaweza lima mahekari ya mazao
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Nov 20, 2013 #6 duh nzuri kweli