Civil, Mechanical na Electrical engineering

Civil, Mechanical na Electrical engineering

Ilambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
475
Reaction score
89
Wanajf nauliza kati ya civil,mechanical na electrical engineering ipi ipo kwenye soko zaidi ktk kujiajiri na kuajiriwa,msaada plseee .....
 
mdau toa sababu.....km ni electrical
 
Ngoja nilifukue hili kaburi....wadau fungukeni.
 
Umeme ni Umeme tu wakuu japo hizo zote ni Core course ila umeme unakula bila jasho sana kama mnyama mechanical kwanza ni tight msuli wa mecha pili inataka nguvu, Umeme na Civil good sana
 
Electrical nachopendea ni rahsi sana kujiajil na ni simple compare to mechanical ambayo ni ngumu af unakomaa na oilchafu na overlol most of the tym....civil investment yake ndo shida japo ipo poa pia
 
Soma ugavi ns ununuzi hutojutia ,achana na ma engineering .
 
Umeme ni Umeme tu wakuu japo hizo zote ni Core course ila umeme unakula bila jasho sana kama mnyama mechanical kwanza ni tight msuli wa mecha pili inataka nguvu, Umeme na Civil good sana
Mechanical ilinitoa jasho, msuli wake sio wa kitoto...
 
Back
Top Bottom