samuel faraj
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 1,326
- 1,269
- Thread starter
-
- #21
Haiko hivyo mkuu, unless hauko serious. Wakati mwingine unaweza hata uko registered na erb na bado usipate mshahara unaotaka wewe. Mimi nilianzaga na 350 tu.
Think twice.
Umeona mkuu ni bora nikae nyumbani , am not worthing laki 4 ina maana rate yangu ni 1666 per hr
Kwa mfano wewe na ufresh from school wako utachangia nini kwa mwajiri wako zaidi ya kufundishwa kazi tu, we kwa sasa huna ulijualo zaidi ya theory za madesa tu. Mi nakushauri kubalin aina yoyote ya mshahara ili ujifunze kazi ili mwisho wa siku uzoefu utakaoupata uweze kukupa hcho kiburi cha kuidharau laki nne.Umeona mkuu ni bora nikae nyumbani , am not worthing laki 4 ina maana rate yangu ni 1666 per hr
vietel ndio akina nani... msaada mkuu