Kwengine kote ni misalaba pazuri ni kujiajili. Hapa Tz ni mbaya zaidi maana hata kazi haufundishwi wanataka output, ni vizuri ukatafuta kampuni ndongo ndo nzuri zidi kuliko kkampuni kubwa. Kama unataka hela bila kazi sijui wapi ila hata Tanroads inategemea uko wapi na nani yupo hapo waweza kuwa shallow Eng(ukitaka) na hela za kudokoa kidogokidogo kama roho yako ndo hivyo. Otherwise jiajiali tu kwingine ni utumwa