Civil Engineer natafuta kazi

Civil Engineer natafuta kazi

iamwhoiam

Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
20
Reaction score
6
Natafuta kazi yoyote ya civil engineering kwenye kampuni yoyote. Mimi ni graduate kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam. Ambaye anaweza kunisaidia kuhusu hili jambo tafadhali ni PM tuongee vizuri.
 
Ipi kati ya hizi upo vizuri
Water resource
Transportation
Structural

Kwa nia njema tu ili tujue ni wapi utafit
 
Kuna sehemu najua unaweza pata ila mshahara wao kwa kuanza nadhani hauzidi laki tano.
 
Jamani pengine huwa najiuliza hivi hizi pm huwa kweli tunazitumia kwa kusudio lake hasa??, maana mambo mengine ni kwa ajili ya wengi, lkn cha hajabu mtu anataka um p.m, mmh!
 
Jamani pengine huwa najiuliza hivi hizi pm huwa kweli tunazitumia kwa kusudio lake hasa??, maana mambo mengine ni kwa ajili ya wengi, lkn cha hajabu mtu anataka um p.m, mmh!

Umeona eeh! Kuna watu kila kitu kwao ni siri tu! Wanaboa sana.
 
Jamani pengine huwa najiuliza hivi hizi pm huwa kweli tunazitumia kwa kusudio lake hasa??, maana mambo mengine ni kwa ajili ya wengi, lkn cha hajabu mtu anataka um p.m, mmh!
Usitake kusafiria nyota, katangaza mmoja kuomba kazi, that why kaambiwa ampm!!! nawewe ukitangaza utajulishwa.
 
Back
Top Bottom