Dah tulioishia la saba sasa hatujui lololote kusu masomo ya Civics tunasikia tu kwa watu. Mimk najua kuhusu sayansi kimu,uraia, hisabati, Kiswahili, labda ungeuliza kwa kiswahili mkuu na sisi wenye elimu ya chini tuweze changia any way napenda sana kujiendeleza na shule sema ndo hivyo umri umeenda, miaka 37 sasa.
Dah na darasa la saba langu nina cheti kimoja tu cha kuhusu maswala ya elimu ambacho ni cha darasa la saba tu basi. Hivi vyeti vingine ni vya kozi mbalimbali nilivyovipata huku kwny ajira yangu ya serikalini.
Ukisoma raha sana aisee. Nitajitahidi nile hata nyasi wananangu waje wafike chuo kikuu, wapate PhD
Shule nzuri sana aisee ningetamani na mm japo ningefika form 4.
121.