dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,807
- 61,668
hahahaa, hapana mkuu, apa ni kutaka kujua kiundani kidogo kinachoendelea nyuma ya pazia kuhusu izi ciu, (plc+rf) lengo haswa ni kuunda ciu ( sms based ), ni icho tuHapa kuna wezi wa umeme
Safari moja huanzisha nyinginehahahaa, hapana mkuu, apa ni kutaka kujua kiundani kidogo kinachoendelea nyuma ya pazia kuhusu izi ciu, (plc+rf) lengo haswa ni kuunda ciu ( sms based ), ni icho tu
hapana mkuu, iyo ni sawa na kufight kupata vocha gen za mitandao, mi nipo kivingine kabisa , kujua mtiririko mzima jinsi token zinavyokua DELIVERED kwenda kwenye mita, ili niongezee njia , ukiachana na plc,rf, siusiki na token GEN kabisaSafari moja huanzisha nyingine
Hamchelewi kuanza ku generate Token za LUKU
Kila la kheli babahapana mkuu, iyo ni sawa na kufight kupata vocha gen za mitandao, mi nipo kivingine kabisa , kujua mtiririko mzima jinsi token zinavyokua DELIVERED kwenda kwenye mita, ili niongezee njia , ukiachana na plc,rf, siusiki na token GEN kabisa
pamokoKila la kheli baba
Nahitaji msaada chief kwa namna ya kuconvert CIU ya mita moja kufanya kazi kwenye mita nyingineInawezekana kutumia rimoti ya mtu mwingine lakin mbaka uiconvert iyo rimoti kwenda kwenye mita namba yako,cha kuzingatia rimoti ziwe za aina moja mfano kuna mita za wasion lakini upande wa rimoti ziko za aina mbili kuna RF na PLC,na kwenye RF hapo kuna ambazo upande wa juu kushoto kuna kialama cha [emoji768] na zengine hazina alama cha [emoji768],kwahiyo cha kuzingatia wakati unaconvert uconvert plc kwa plc,Rf kwa Rf kama yenye [emoji768] kwa yenye [emoji768],kama haina [emoji768] kwa ambayo haina [emoji768] nyenzie nadhani nitakuwa nimeeleweka kidogo,kama utaitaji namba za kuconvetia ni pm maana mita zinazotumia rimoti ziko za haina mbili kuna Wasion na Enhemeter na namba zake za kuconvetia ziko tofauti asante
Nahitaji msaada chief kwa namna ya kuconvert CIU ya mita moja kufanya kazi kwenye mita nyingine