COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,130
Mapicha? wewe utakuwa tapeli bila shaka,hafu ukome kufananisha Dar na uchafu mji wa wauza mikundu.Mapicha zinakam tulieni wasee
Mombasa 1000 $ millionaires pop:1.2 millionMapicha? wewe utakuwa tapeli bila shaka,hafu ukome kufananisha Dar na uchafu mji wa wauza mikundu.
Mombasa port doubles dar port in capacitydah angalau ungesema dsm vs Nairobi!, then mombasa ungeipeleka tanga yan iwe mombasa vs tanga
Acha kutuletea ujinga huoMombasa 1000 $ millionaires pop:1.2 million
Dar 1200 $ millionaires pop: 6 million
Ikue ujinga but ni ukweliAcha kutuletea ujinga huo
Kiswahili chako tu, mimi huku hoi taabaniMapicha zinakam tulieni wasee
Hi ni sheng mseeKiswahili chako tu, mimi huku hoi taabani
Ukiondoa iyo bandari mombasa ata Arusha inaikimbiza...endelea kukimbiza upepoMombasa
Hiyo ni swahili mbofu mbofu... sheng gani waongea kama babu kizee tena kibogoyoHi ni sheng msee
Ngeli ya genge isikukondeshe msee. By now mnafaa kuwa ata mmeizoea.Kiswahili chako tu, mimi huku hoi taabani
Ambapo Mombasa ni mbingu na Dar ni ardhikufananisha Dar es salaam na mombasa ni sawa na kufananisha Mbingu na Ardhi