Cisa exam review classes - xmas & new year offer

Status
Not open for further replies.
Msaada,

Inawahusu watu wa fani gani
Wahasibu, Wagavi, Madaktari, IT au???

Qualifications za kusoma hii ni zipi?
 
Msaada,

Inawahusu watu wa fani gani
Wahasibu, Wagavi, Madaktari, IT au???

Qualifications za kusoma hii ni zipi?


Inawahusu watu wa ICT ambao wana-hitaji kuwa wakaguzi wa Mifumo ya Komputa yaani ICT Auditors
 

Hiyo ada inalipiwa marekani au bongo?? Mbona mnatuwekwa madola dola tu wengine hatuelewi bwana... kwanini msitumie Tsh??
 
Inawahusu watu wa ICT, Accounts, wakakaguzi wa fedha, na hata wanasheria. Kwa kifupi inawahusu wale ambao kwa namna moja au nyingine wanahusika na ICT. Mwanzoni ilidhaniwa kwamba CISA ni kwa ajili wakaguzi tu. La asha, CISA itawasaidia Wakuu wa vitengo ya ICT, Utawala na FEdha, Internal Investigation, Legal etc. Kwa nchi za wenzetu huwezi kuwa mkuu wa idaya YA ICT au FEdha Kama una CISA , na hata huku kwetu inaanza kuja sasa. Tafadhali tupigie simu(0655 705522/0767849089 au tutembelee oficini kwetu tukupe maelezo zaidi
 
LORDVILLE, Unachotulipa sisi ni tution fee ambayo unaweza ukalipa "in TZs /USD" .Lakini kama unalipia Mtihani utawalipa ISACA International, ambao wapo marekani na malipo yako lazima yawe " in USDs"
 


Asante kwa details za kutosha, naanza sasa kwa kujisajili na hawa jamaa, pia suala la kukutana na kupata details kidogo ni la muhimu sana. Kama ukipata muda usisite kunijulisha nami nitakutafuta. Just pm me and i will come where you will be for more info. Thanks once again.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…