You don't need to be lectured to sit for CISA. You just need time to concentrate..
Agreed dear folks... Kwa wanaotarajia kusoma na badaye kuwa Certified na ISACA (/Hii ndo bodi inayotoa hiyo CISA - ipo Marekani) 1. Gharama ya uanachama wa ISACA - $135 2. Gharama za kusoma review kozi hapa TZ as per Resolute - $500 3. Gharama za mtihani kutoka ISACA ili uwe Certified - $460 4. Gharama za vitabu na CD za mazoezi kabla ya mtihani, vyote kutoka ISACA - $ kutegemea na kitabu 5. Mtihani unakuwa maswali 200 * 4 = 800 pts, maswali yote ni multiple choice. Ufaulu wa chini kabisa ni pts 450 kati ya total 800
Hi up there,
Hii kampuni imesajiliwa kuta CISA?
wakuu, sisi tunatoa material zote, hiyo dola 500 inacover, refreshments, tution fee na materials. nitumie email address zenu niwatumia document yenye details zote. Hii ni fursa, kwa graduates, tumeshusha bei ili kuwezesha hata wale watakaojilipia wenyewe kuweza kumudu gharama. Market price ni dola 1200. Cheers
Wakuu, soko la CISA liko wazi, Uzoefu unaonesha kwamba kufaulu mtihani wa CISA bila kuandaliwa inakua ngumu kidogo hasa kwa wale ambao hawana uzoefu wa kazi kwenye "areas" za CISA Ni kama ilivyo kwa wenzetu wa fani nyingine kama CPA, CIA, ACCA etc. Ada ya kulipia mtihani sio chini ya Dola 600. "passing mark" no 75% . Kama hutapata maandalizi mazuri ambayo utayapata zaidi kwa kuhudhuria"Review CLasses", kuna uwezekana mkubwa sana kufeli mtihani wa CISA. Kwa maana hiyo basi utakua umepoteza dola 600 pamoja na opportunity cost ya kukosa "CISA designation " kwenye CV yako kwa miezi mingine Sita. Ndio maana tumeshusha bei ya maandalizi ili kuwapa fursa watu wengi kumudu gharama za maandalizi. Kwa wale wanaoifahamu CISA na wamewahi kufanya mitihani na kufeli wanalifahamu ili fika. Kwa wale ambao ni wageni na wangependa kufanya mitihani ya CISA, tafadhali, wasiliana na sisi, tuko tayari kukupa ushirikiano utakaohitaji. Nawatakia sikuu njema ya Xmass na Mwaka mpya 2014
Wakuu mimi binafsi nimeishafanya mitihani ya CISA mara mbili na sikufikisha alama zilizotakiwa, Sijasoma IT ila nawahakikishieni hii mitihani inafanyika na hii certification ina soko sana hadi serikalini wameanza kutambua umuhimu wake.
Pia namfahamu huyu jamaa mwenye hii kampuni nimeishahudhuria workshop zake za mambo ya IS audit ni mzuri sana na ni mmojawapo wa wataalamu mahiri wa Is audit na IS security waliokuwa pale kwenye yale majengo pacha.Jamaa anajua sana.
Mzee wa ndonga unaanza kunishawishi ili hapa sijakuelewa "uwe na mtu wa kukupa mitego jinsi ya kusoma,". Natamani kuipata hiyo CISA ila kibongo bongo miyeyusho ni mingi sana hizo sehemu za review classes, instructor hawapo competent kukufanya uelewe zaidi ya kukutaka ukariri, kwa umri nilio nao sihitaji kukariri ila kuelewa zaidi.Mimi nimesoma CISA na nimefanya exam mwezi Sept 2013 Nairobi, na nimefaulu, na nondo na directives nyingi kanipa huyo kijana, yuko vizuri, cha msingi ujue nini cha kusoma na usome kweli, Hakuna anayefaulu CISA bila kusoma material muafaka na journals za ISACA na uwe na mtu wa kukupa mitego jinsi ya kusoma, CISA certification imeshaanza kunilipa,ndani ya miezi 2 nishapata kazi za Audit kama 2 hivi na maisha yanasonga mbele.....
Mzee wa ndonga unaanza kunishawishi ili hapa sijakuelewa "uwe na mtu wa kukupa mitego jinsi ya kusoma,". Natamani kuipata hiyo CISA ila kibongo bongo miyeyusho ni mingi sana hizo sehemu za review classes, instructor hawapo competent kukufanya uelewe zaidi ya kukutaka ukariri, kwa umri nilio nao sihitaji kukariri ila kuelewa zaidi.