Cisa exam review classes - xmas & new year offer

Cisa exam review classes - xmas & new year offer

Status
Not open for further replies.

kimjr

Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
12
Reaction score
4
Dear colleagues and friends Resonate Consulting Group is organizing intensive CISA exam review classes at a very reasonable and affordable cost( only 500$) for candidates who would like to sit CISA exam in June 2014. The classes are scheduled to commence on 03/02/2014 and will be conducted at our office which is located in IPS building second floor, at the courner of Samora Avenue / Azikiwe Street. Training rooms are air conditioned. Refreshments will be provided throughout the course The instructors chosen to teach the particular subject matter (domains) are practicing certified professionals representing prominent companies in Tanzania. We assure you that you will be provided with all that you need to enable you to pass your exam. Since seats are limited( 20 students per class), enrollment is on first-come-first-served basis. For more information please contact us at IPS Building, Samora Avenue / Azikiwe Street: P O Box 34329, Tel + 255 22 2185426/0655-705522/0767849089 Email: info@rcg.co.tz, Website: SCG Regards, Miss Gloria Mwanga - Training Manager
 
You don't need to be lectured to sit for CISA. You just need time to concentrate..
 
CISA is a very nice certification and is among of the highly paid certification in the world..With a growing demand for individuals possessing IS audit, control and security skills, CISA has become a preferred certification program by individuals and organizations around the world...Najua umuhimu wa kuwa na Certification ya CISA..sure i will be the first to register and i have talked about it with my coleague hapa ofisini, young graduates hii ni nafasi nzuri ya kusoma a kutafuta ajira ambazo ziko nje nje.....
 
Sijaielewa hii ishu naomba ufafanuzu tafadhari.

Sijui lugha ndo tatizo!
 
Agreed dear folks... Kwa wanaotarajia kusoma na badaye kuwa Certified na ISACA (/Hii ndo bodi inayotoa hiyo CISA - ipo Marekani) 1. Gharama ya uanachama wa ISACA - $135 2. Gharama za kusoma review kozi hapa TZ as per Resolute - $500 3. Gharama za mtihani kutoka ISACA ili uwe Certified - $460 4. Gharama za vitabu na CD za mazoezi kabla ya mtihani, vyote kutoka ISACA - $ kutegemea na kitabu 5. Mtihani unakuwa maswali 200 * 4 = 800 pts, maswali yote ni multiple choice. Ufaulu wa chini kabisa ni pts 450 kati ya total 800
 
It seems ni very easy to pass according to that passmark compared to other certifications.
 
Hi up there,
Hii kampuni imesajiliwa kuta CISA?

Unasubiri Kampuni isajiriwe ili upate CISA certification? ISACA wako free mtu yoyote anayeweza kusoma popote pale ili aweze kufaulu hawana noma.....cha msingi ni wafundishaji watumie manuals zinazokubalika, sio kama Oracle ama microsoft.. jaribu kutembelea www.isaca.org ..kwa tanzania ipo isaca chapter ya tanzania lakini ni kama imekufa na haisimamii vema masuala ya certification..
kama unataka CISA certification wahi kujisajiri, na ujisomee ,
 
wakuu, sisi tunatoa material zote, hiyo dola 500 inacover, refreshments, tution fee na materials. nitumie email address zenu niwatumia document yenye details zote. Hii ni fursa, kwa graduates, tumeshusha bei ili kuwezesha hata wale watakaojilipia wenyewe kuweza kumudu gharama. Market price ni dola 1200. Cheers
 
NI rahisi sana kufaulu CISA kama umesoma na una idea na IT pia, maswali ni multiple choice kama jamaa alivyoelekeza hapo juu, ingawa unahitaji material n kujisomea brochures/magazine na hata kwenye website ya ISACA wanatoa documents nyingi za kukuwezesha kufaulu, Zamani Auditor wengi walikuwa wa Financial Audit, dunia imebadilika na ukizingatia kila ofisi wanatumia mifumo ya Computer, hapo ndipo IT Auditor wakawa wanahitajika, in near future IT Audit itashika kasi Tnzania na mtu ukiwa na CISA unakamata kazi nzuri na ya maana.....
 
Wakuu, soko la CISA liko wazi, Uzoefu unaonesha kwamba kufaulu mtihani wa CISA bila kuandaliwa inakua ngumu kidogo hasa kwa wale ambao hawana uzoefu wa kazi kwenye "areas" za CISA Ni kama ilivyo kwa wenzetu wa fani nyingine kama CPA, CIA, ACCA etc. Ada ya kulipia mtihani sio chini ya Dola 600. "passing mark" no 75% . Kama hutapata maandalizi mazuri ambayo utayapata zaidi kwa kuhudhuria"Review CLasses", kuna uwezekana mkubwa sana kufeli mtihani wa CISA. Kwa maana hiyo basi utakua umepoteza dola 600 pamoja na opportunity cost ya kukosa "CISA designation " kwenye CV yako kwa miezi mingine Sita. Ndio maana tumeshusha bei ya maandalizi ili kuwapa fursa watu wengi kumudu gharama za maandalizi. Kwa wale wanaoifahamu CISA na wamewahi kufanya mitihani na kufeli wanalifahamu ili fika. Kwa wale ambao ni wageni na wangependa kufanya mitihani ya CISA, tafadhali, wasiliana na sisi, tuko tayari kukupa ushirikiano utakaohitaji. Nawatakia sikuu njema ya Xmass na Mwaka mpya 2014
 
wakuu, sisi tunatoa material zote, hiyo dola 500 inacover, refreshments, tution fee na materials. nitumie email address zenu niwatumia document yenye details zote. Hii ni fursa, kwa graduates, tumeshusha bei ili kuwezesha hata wale watakaojilipia wenyewe kuweza kumudu gharama. Market price ni dola 1200. Cheers

Muungwana kimjr.... umeandika Review Class inaanza tarehe 03/02/2014 hii ni February au ni March, 2014?
Pia ikianza hiyo Feb/March inaenda hadi tarehe ngapi ya mwezi gani??
 
Mkuu, ni feb 2014, na itaisha April 30 2014. Tafadhali, nitumie email address yako nikutumie document yenye details zaidi.
 
Wakuu, soko la CISA liko wazi, Uzoefu unaonesha kwamba kufaulu mtihani wa CISA bila kuandaliwa inakua ngumu kidogo hasa kwa wale ambao hawana uzoefu wa kazi kwenye "areas" za CISA Ni kama ilivyo kwa wenzetu wa fani nyingine kama CPA, CIA, ACCA etc. Ada ya kulipia mtihani sio chini ya Dola 600. "passing mark" no 75% . Kama hutapata maandalizi mazuri ambayo utayapata zaidi kwa kuhudhuria"Review CLasses", kuna uwezekana mkubwa sana kufeli mtihani wa CISA. Kwa maana hiyo basi utakua umepoteza dola 600 pamoja na opportunity cost ya kukosa "CISA designation " kwenye CV yako kwa miezi mingine Sita. Ndio maana tumeshusha bei ya maandalizi ili kuwapa fursa watu wengi kumudu gharama za maandalizi. Kwa wale wanaoifahamu CISA na wamewahi kufanya mitihani na kufeli wanalifahamu ili fika. Kwa wale ambao ni wageni na wangependa kufanya mitihani ya CISA, tafadhali, wasiliana na sisi, tuko tayari kukupa ushirikiano utakaohitaji. Nawatakia sikuu njema ya Xmass na Mwaka mpya 2014

Wakuu mimi binafsi nimeishafanya mitihani ya CISA mara mbili na sikufikisha alama zilizotakiwa, Sijasoma IT ila nawahakikishieni hii mitihani inafanyika na hii certification ina soko sana hadi serikalini wameanza kutambua umuhimu wake.
Pia namfahamu huyu jamaa mwenye hii kampuni nimeishahudhuria workshop zake za mambo ya IS audit ni mzuri sana na ni mmojawapo wa wataalamu mahiri wa Is audit na IS security waliokuwa pale kwenye yale majengo pacha.Jamaa anajua sana.
 
Mimi nimesoma CISA na nimefanya exam mwezi Sept 2013 Nairobi, na nimefaulu, na nondo na directives nyingi kanipa huyo kijana, yuko vizuri, cha msingi ujue nini cha kusoma na usome kweli, Hakuna anayefaulu CISA bila kusoma material muafaka na journals za ISACA na uwe na mtu wa kukupa mitego jinsi ya kusoma, CISA certification imeshaanza kunilipa,ndani ya miezi 2 nishapata kazi za Audit kama 2 hivi na maisha yanasonga mbele.....
 
vigezo vya kujiunga na hyo coarse ni vipi mkuu!!?
 
Mimi nimesoma CISA na nimefanya exam mwezi Sept 2013 Nairobi, na nimefaulu, na nondo na directives nyingi kanipa huyo kijana, yuko vizuri, cha msingi ujue nini cha kusoma na usome kweli, Hakuna anayefaulu CISA bila kusoma material muafaka na journals za ISACA na uwe na mtu wa kukupa mitego jinsi ya kusoma, CISA certification imeshaanza kunilipa,ndani ya miezi 2 nishapata kazi za Audit kama 2 hivi na maisha yanasonga mbele.....
Mzee wa ndonga unaanza kunishawishi ili hapa sijakuelewa "uwe na mtu wa kukupa mitego jinsi ya kusoma,". Natamani kuipata hiyo CISA ila kibongo bongo miyeyusho ni mingi sana hizo sehemu za review classes, instructor hawapo competent kukufanya uelewe zaidi ya kukutaka ukariri, kwa umri nilio nao sihitaji kukariri ila kuelewa zaidi.
 
Kwanza ingia www.isaca.org ni website ya jamaa wanaotoa hizo certification za CISA. kisha fanya registration kama member..its free of charge..ili uwe member uweze kupata updates mbali mbali kuhusu matoleo na machapisho mbalimbali ya hiyo CISA. kuna journal wanazozitoa kila mwezi, ni muhimu kuzisoma ili uwe updated na issues mbalimbali..Hao jamaa wa Resonate Consulting Group wana walimu wazuri. watakupa materials na directives za kufanya uweze kufaulu exams. na ni watu ambao wamekuwa kwenye field ya IS Audit and security issues kitambo sasa, na wanatoa mifano practical....... wanataka kujenga jina so wako very serious, lakini pia lazima utenge muda wa kusoma mwenyewe, kwa mfano mtihani ujao ni June. kama ukianza kusoma Feb 2014, unatakiwa angalau kila siku utenge 2-3 hrs kwa ajili ya kuipitia ile manual, na hizo journalkuna CD za maswali na hata kwenye website ya ISACA wanakupa exams like questions za kujifua kabla ya paper. na pia discussions na wenzako mlio na nia ya kufanya exams make kila mtu anajua area flani. na pia kukutana physically na kubadilishana na watu ambao walishafanya na kufaulu CISA.. kwa Tanzania CISA certification wanazo almost hawafiki watu 60. so u can see how useful that certification will be in the near future...will arrange one day kama uko serious tukutane nikupe details kidogo..
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom