mzee wa ndonga
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 1,108
- 88
- Thread starter
-
- #21
Mjomba Mkude.
Gharama za kufanya mtihani inategemeana na kama uko member wa ISACA ama sio member.
Online early registrations received on or before early registration deadline US $420 kwa member na US $600 kwa non member.
Ili uwe member unatakiwa ulipie $180 US na kuna advantage nyingi sana za kuwa member, unapata punguzo la mtihani, punguzo la kununua materials, unapata journal monthly free of charge, na unahudhuria seminars na wrorkshops zinazoandaliwa na ISACA Tanzania Chapter which is our local chapter bila malipo na ku access library yao free of charge.
Kwa maelezo zaidi fungua www.isaca.org
VILLAIN.
Arusha huwa tunashirikiana na Chuo cha Uhasibu Njiro kufundisha hiyo course. mwaka jana tumefundisha hapo, kwa mwaka huu ndo tunafanya mpango tuone kama tutapata wanafunzi wengi tuanzishe darasa hapo. ujue CISA is new kwa watu wengi, awareness ni muhimu ili watu wajua umuhimu wa kupata hii certification, issue sio certification lakini after completion ya hii course naamini kama wewe ni auditor ama unafanya kazi utakuwa umeongeza kitu kikubwa sana kwenye utendaji wako wa kazi...will get back to you tuone kama tutapata idadi ya kutosha kufungua darasa hapo.....