Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,574
- 9,783
Mkuu hapa kwenye horizontal component nimechekecha kichwa lakini sijaelewa kabisa hasa hasa hiyoNlsahau g mara ya kwanza ndo maana nkakata kidogo
Lingine kama una shida nipo free mpaka kesho View attachment 1121941View attachment 1121942
tehIle nimekesha na chand na nelkon naona madude yanapanda na ndio kwaaanza nina miezi minne class, pepa ikaja nikatembelea 37%, nikaichukia physics mpaka leo.