Mkuu, hao watu wanaoyaelewa hayo uliyoyaandika probably wanaweza wakawa wanamudu kuyafanya hivyo wasiwe na shida nayo.
Kwanini usitushirikishe kwa lugha nyepesi hata wengine tusioelewa ili kama tukivutiwa tukuunge mkono. Nina uhakika tuko wengi zaidi ya hao uliowakusudia
Otherwise baki na kitengo chako cha engineering huku unaongea lugha ya mashine, tafuta mtu wa masoko anayejua lugha tunayoelewa binadamu akusaidie.