CIMDO na Norwean Refugees Council

CIMDO na Norwean Refugees Council

Hao nrc walishatuma online written test, wiki iliyopita sijui baada yahapo kama walishaita kwa stage nyingine
 
Kuna uzi unaelezea kazi za NGO ,utafute upate a,b,c kidogo
 
Hao nrc walishatuma online written test, wiki iliyopita sijui baada yahapo kama walishaita kwa stage nyingine
Hawa wapo faster,ila online test hua wanakutumia email kama umefanikiwa au haujafanikiwa
 
Back
Top Bottom