CIA: The World Fact Book

CIA: The World Fact Book

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,289
Reaction score
2,472
Sasa naamini kuwa tunachunguzwa, tena sana. Na tunafuatiliwa si kidogo. Si Tanzania tu bali nchi zote ulimwenguni. CIA ni habari nyingine. HAwa jamaa wana rekodi ya kila nchi na kwa ufasaha angalau kwa asilimia 99. Kadhalika habari zao huwa zinahuishwa mara kwa mara ili kwenda na wakati. Wakati napitia humo nikaona nitazame na nchi yangu. Kiukweli kuna mambo ambayo sikuwa nayajua, kama idadi ya mikoa ya Tanzania, n.k.

Sasa katika hiyo kategori ya siasa ndio nikaona wamepotoka kidogo. mnaweza kuicheki, maana wanachanganya wenyeviti na makatibu wakuu wa vyama.

All in all, the world fact book ni muongozo mzuri wa kuijua dunia yetu. Nilianza kutafuta taarifa za Burma ambayo inajulikana pia kama Maynmar. Nchi ambayo imewafukuza kabila la Rohingya, ambao ni kabila dogo linaloabudu katika uislam wakati Maynmar / Burma wengi wao ni Budha. Waweza endelea.

Political parties and leaders;

Alliance for Chance and Transparency or ACT [Samson MWIGAMBA]
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Party of Democracy and Development) or CHADEMA [Willibrod SLAA]
Chama Cha Mapinduzi or CCM (Revolutionary Party) [Jakaya Mrisho KIKWETE]
Civic United Front or CUF [Ibrahim LIPUMBA]
Democratic Party or DP [Christopher MTIKLA] (unregistered)
National Convention for Construction and Reform - Mageuzi or NCCR-M [Hashim RUNGWE]
Tanzania Labor Party or TLP [Mutamwega MUGAHWYA]
United Democratic Party or UDP [Fahma DOVUTWA]
Note: in March 2014, three opposition parties (CUF, CHADEMA, and NCCR-Mageusi) united to form Umoja wa Katiba ya Wananchi (Coalition for the People's Constituion) or UKAWA; during local elections held in October, 2014, UKAWA entered one candidate representing the three parties united in the coalition

Economy - overview;

Tanzania is one of the world's poorest economies in terms of per capita income, but has achieved high growth rates based on gold production and tourism. GDP growth in 2009-14 was an impressive 6-7% per year. Tanzania has largely completed its transition to a market economy, though the government retains a presence in sectors such as telecommunications, banking, energy, and mining. The economy depends on agriculture, which accounts for more than one-quarter of GDP, provides 85% of exports, and employs about 80% of the work force.

The World Bank, the IMF, and bilateral donors have provided funds to rehabilitate Tanzania's aging infrastructure, including rail and port, that provide important trade links for inland countries. Recent banking reforms have helped increase private-sector growth and investment, and the government has increased spending on agriculture to 7% of its budget. The financial sector in Tanzania has expanded in recent years and foreign-owned banks account for about 48% of the banking industry's total assets.

Competition among foreign commercial banks has resulted in significant improvements in the efficiency and quality of financial services, though interest rates are still relatively high, reflecting high fraud risk. All land in Tanzania is owned by the government, which can lease land for up to 99 years. Proposed reforms to allow for land ownership, particularly foreign land ownership, remain unpopular. In 2013, Tanzania completed the world's largest Millennium Challenge Compact grant, worth $698 million, and in December 2012 the Millennium Challenge Corporation selected Tanzania for a second Compact. Dar es Salaam used fiscal stimulus and loosened monetary policy to ease the impact of the global recession.

In late 2014 a highly publicized scandal in the energy sector involving senior Tanzanian officials resulted in international donors freezing nearly $500 million in direct budget support to the government.

NB: Mods naomba mnirudishie haki za kupost na kuediti ninachoweka hapa jukwaani
 
Hapo kwenye vyama kweli wanachanganya.
 
Hakuna nchi isiyojulikana ila CIA wao wanaandika wanachokiona na kusikia. Hii ina maana kubwa katika intellijensia. Habari za intellijensia si lazima ziwe sahihi, maana zinazunguka. Usahihi huja wakati tunahitaji kuzitumia.
 
una hakika na unachosema? Unasema kuwa hii ina maana kubwa katika intelijensia kisha unasema si lazima taarifa ziwe sahihi hadi wakati wa kuzihitaji. sasa kwa mfano hapo kwenye vyama si tunaona wanapotosha kwa sisi tunaojua? na je wakipotosha wakasema tanzania imepakana na Ethiopia bado hakuna haja ya usahihi?
 
Intelijensia ni mkusanyiko wa taarifa nyingi na baadaye kuzichambua ili zipate usahihi wa kuzitumia kutokana na malengo. Soma maana yake utaona.
 
sasa wazichambulie hadharani? Nilidhani wanakusanya kwa wingi kisha wanakaa chemba kuhakiki ndipo watoe kilicho sahihi, kumbe sio.
 
Hata hapo kwenye umiliki wa ardhi kwamba ardhi ya Tanzania inamilikiwa na serikali naona kama kuna mistake kidogo. Sera ya Ardhi inasema Ardhi ya Tanzania ni mali ya watanzania under trusteeship of the president. Na ndio maana hata uende kijijini ndani kabisa huwezi kupata ardhi bila idhini ya wakazi labda uamue kupindisha sheria
 
Back
Top Bottom