CIA kwa bahati mbaya limefichua taarifa jinsi ku-control akili bila mtu kujua akili yake imekuwa hacked

Ndio pia kuna movie inaitwa John English kacheza Mr. Bean Kuna solution ilitengenezwa inayo "Timoscrine Baberbutonal" sikumbuki vizuri sana jina lake but wameonesha ni jinsi gani wanaweza kumcontrol mtu bila kuwa na ufahamu wake. Hii Nilidhani ni movie but ukifutailia ndani kuna hidden meaning ya kuwepo kwake.

Sent using Infinix hot 4

Yeah mkuu nimeiona hii movie, kuna mlinzi ana muua Rais wa nchi moja hapa afica bila maamuzi yake yani yupo under control na mwishoni bein mwenyewe anakuwa controled na anajitahidi ku overcome..
 
Yeah mkuu nimeiona hii movie, kuna mlinzi ana muua Rais wa nchi moja hapa afica bila maamuzi yake yani yupo under control na mwishoni bein mwenyewe anakuwa controled na anajitahidi ku overcome..
Kabisa mkuu

Sent using Infinix hot 4
 
Back
Top Bottom