CIA kwa bahati mbaya limefichua taarifa jinsi ku-control akili bila mtu kujua akili yake imekuwa hacked

There would be no such mythical power!!

Hizo ni propagandas za kuwatia wasiwasi maadui zao
 
There would be no such mythical power!!

Hizo ni propagandas za kuwatia wasiwasi maadui zao
Usibishe kila jambo ndugu haya mambo yanawezekana kabisa, mfano mdogo angalia kundi kubwa lilivyoathirika na matumizi mabaya ya mtandao hasa hizi smartphone, imesababisha watu wawe kama mazombie na kushindwa hata kutafakari mambo yenye manufaa kwa jamii...
 
Mbona utaalamu huo hata Bongo tunao!
Mambo ya chuma ulete si ndiyo hayo ya kumteka mtu akili?
 
Mbona kuhack akili ya mtu ni jambo jepesi sana.
kama sisi kwa sisi tuna hackiana.

Unadhani movie za mazombie zina ujumbe gani?
Kweli zombies ni another good way ambayo people control people. Mfano: cheki kitu kinachoitwa Voodoo Magic huko ndo mtu anafanya kitu bila mind yake kuwa active

Sent using Infinix hot 4
 
Wanatengeneza vodoo pupet

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio pia kuna movie inaitwa John English kacheza Mr. Bean Kuna solution ilitengenezwa inayo "Timoscrine Baberbutonal" sikumbuki vizuri sana jina lake but wameonesha ni jinsi gani wanaweza kumcontrol mtu bila kuwa na ufahamu wake. Hii Nilidhani ni movie but ukifutailia ndani kuna hidden meaning ya kuwepo kwake.

Sent using Infinix hot 4
 
No you can't be serious ma nigga mm nilijua umeshusha nondo ili tuchangie kumbe umelete ma link. Huku hatufanyi hvo
Wengine tunatumia free basic mambo ya link daah. Afanye tu uchambuzi kisha aweke link kama reference. May be can help
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…