Church burned in Algeria

Inashangaz kuona ma atheist wameishiwa kwenye deen yao na sasa wanajadili mambo theist. Kaazi kweli kweli.

Anyway Wakuu, tubakie kwenye mada ya Algeria

Atheist hatuna deen!!!

Post yangu ya kwanza ni hii



Kungekua hakuna hizi dini za uongo [Mussa/Moses/Moshee], miungu ya uongo, Uislam, Ukristo haya yote yasingetokea.

ukipost upumbavu wako soma kwanza wenzio waliyoandika
 
[FONT=trebuchet ms,arial,helvetica]Uganda: [/FONT][FONT=trebuchet ms,arial,helvetica]Animists, Christians, [/FONT]Sijui wanajiita jeshi la bwana watu kibao walichomewa vijiji vyao watu kibao kupoteza maisha na watoto kutekwa

[FONT=trebuchet ms,arial,helvetica]India: [/FONT][FONT=trebuchet ms,arial,helvetica]Animists, Christians, Hindus,[/FONT][FONT=trebuchet ms,arial,helvetica]& [/FONT][FONT=trebuchet ms,arial,helvetica]Sikhs[/FONT][FONT=trebuchet ms,arial,helvetica] recently wakaongeza list waislam[/FONT]


Sisi Atheist tunasema Fvck you theist
 
Atheist hatuna deen!!!

Post yangu ya kwanza ni hii




ukipost upumbavu wako soma kwanza wenzio waliyoandika

Sasa tuambie atheist ni nini na unafanya nini hapa kwenye mada hii ya deen?
 
Sasa tuambie atheist ni nini na unafanya nini hapa kwenye mada hii ya deen?

Jamaa inaelekea alikuwa ni mkamua kinyesi maiti, ila mambo yalipomzidia akaona isiwe tabu, sasa ndio hivyo amekuwa mjukuu wa Ibilis kwa sura nyingine au watoto wa siku hizi wanasema 'ametoka kivingine'..lolz
 
Sasa tuambie atheist ni nini na unafanya nini hapa kwenye mada hii ya deen?

Kutokana na Thread uliyopost inaongelea kuhusu binadamu waliochomewa apartment yao

Atheist ni human being

Ni wewe na mwandishi uliyoifanya iwe ya deen

 
Dini yetu inavyo sema kwenye ''Surat Meza'' kama sijakosea;ukiua mkiristo,myahudi basi wewe utapata swawabu kwa mwenyezi mungu na mtume wake muhamad(SWA),Quruan imetuasa tuoe wakristo&wayahudi ili dini yetu ipate kuenea na tuwe na wafuasi wengi(yani watoto watakaozaliwa ni waislamu).
vile vile kuna haya inasema kuwa muwateke watu au mvamie vijiji na kuwabadilisha watu wote wawe waislamu(JIHAD WAR ).

mnaopenda kujua zaidi tafuten kitabu cha haya za mashetani.utajua mengi sana.
 

Watangazie theist wenzako upuuzi huu lakini watu kama sie atheist ambao hatumjui Musa/Moses/Moshee hatuna imani hii.
 

Darwini, je unaona busara kipiga makelele tena kwa matusi ukijijumlisha na maatheisti kwa jumla?

Yaani hata ukihesabu maovu yote yaliyotendwa kwa jina la Yesu (karne za kati) na kwa jina la Allah na hata miungu yote milioni 360 za Wahindu - jumla haifiki hata kidogo maovu ya akina Hitler, Stalin na Maodzedong.
Hao wote walikuwa wa kabila lako!
 
Watangazie theist wenzako upuuzi huu lakini watu kama sie atheist ambao hatumjui Musa/Moses/Moshee hatuna imani hii.


Tena Taleban wakikukamata wewe Darwin wanakuchinja kwanza halafu maswali watakuuliza baadae.
 








Hitler alikua theist!!
 
Hitler alikua theist!!


Kumbe! Sina uhakika. Picha zako zinawaonyesha viongozi wa kidini wanaomheshimu Hitler (si ajabu: madikteta wakubwa wanapata watu wa kila aina wanaopiga magoti mbele yao..)- humwonyeshi Hitler akiwaheshimu hao.
Alichojadili Hitler ilikuwa "die Vorsehung" - ni utheisti??

Basi tumwache kando kwa muda.

Ila tu: Stalin na Mao umeshawakubali katika kabila lako?
 

Toa idadi ya hao waliuliwa na Stalini na Mao
Na mimi nitatoa waliuliwa kwa ajili ya deen.

Holocaust ilikua matunda ya theist



God with us kwenye hio sign ya Hitler
 
Toa idadi ya hao waliuliwa na Stalini na Mao
Na mimi nitatoa waliuliwa kwa ajili ya deen.

Hii biashara faida kubwa kwa akaunti yangu!


Holocaust ilikua matunda ya theist
Unaweza kuionyesha? Itakuwa vigumu. Itikadi ya akina Hitler ilifuata matokeo ya kazi ya (samahani kwa kutumia jina uliolochagua!) Mzee Darwin ("social Darwinism"). Alishika imani Wayahudi ni kama minyoo kwenye mwili wa mbari safi yaani ya Kigermanik. Alitumia mabaki ya chuki ya kidini lakini haikuwa itikadi yake wala wa wenzake watekelezaji wakuu kama Himmler.

God with us kwenye hio sign ya Hitler
Unapata nukuu nyingi za Hitler kuhusu Mungu kutoka miaka ya mapema. Baadaye taarifa zimebailika. Majadiliano yake ya mezani (yaliyokusanywa kutokana na notisi za sekretari yake na pia wengine waliohudhuria) zinaonyesha picha tofauti.
Kwa jumla alitumia dini na imani ya Wajerumani kwa kusudi lake. Aliogopa kupinga kanisa waziwazi kwa sababu aliogopa kudhoofishwa; alipinga makanisa kwa njia y siasa yake na kwenye ngazi za miji na majimbo si kitaifa.
"Imani" aliyotamka mara kwa mara ilikuwa "die Vorsehung" - labda alikuwa na mabaki ya namna ya kidini (si Ukristo!) hadi mwisho.

Lakini picha unayoonyesha ni mbinu wa kushikamanisha Wajerumani tu. Kumbuka: Hata Stalin aliwaita viongozi wa kanisa la kirusi mwaka 1941/42 akalegeza mateso ya Wakristo aliposikia haja ya kuunganisha Warusi wote dhidi ya Hitler.

Kesi yako kuhusu Hitler mtu wa dini ni hafifu.
 
Ndugu zangu,

Huu sio wakati wa kuwalaumu waislamu au mtu yeyote,(Yesu anasema muwapende adui zenu na muwaombee, Mungu ndie mwenye hukumu ya haki) mwenye macho na atambue ya kuwa, Mwana wa Adamu yu karibu kurudi, huu ni muda wa kutubu, kusali, na kuomba neema kwa Mungu. Na yeyote atakaeliitia jina Bwana(Yesu), ataokolewa. Ushauri, tuombeane sote, kwa wale wanaomuamini Kristo, ili tuweze kuvumilia yale yote ambayo yako mbele yetu, pia tuwaombee wakristo wote walioko duniani. Wapinga kristo ni wengi mno sasa hivi sio tu waislamu, dhambi iko nje nje kila mahali, kwenye internet, redioni, magazetini, mashuleni, vyuoni, through mobile phones, ukatili unaondelea sasa hivi ni wa kutisha, mauaji ya kutisha, njaa,dhuluma, ufisadi, matetemeko ya ardhi, climate change, global warming, extreme weather conditions(snow), flood, vita, na dalili za vita(iran against Israel, USA against North Korea), economic recession, Yesu alisema, mkiyaona hayo, mjue ule mwisho umekaribia, mwenye kujitakasa na azidi kujitakasa. Lakini, neema bado ipo, kila mtu akimuita Yesu, atasemasamehewa dhambi zote.

Tunayoyaona kwa sasa yalikwisha kutabiliwa na manabii, na hayatabadilika ila yatazidi kuwa mabaya mno ili neno lipate kutimia, mambo yote yatapita lakini, neno la Mungu halitapita.

Ukiona kuna negative(-), pia ujue kuna postive(+),ukiona kuna maasi, ujue pia kuna mema, ukiona maasi yamezidi, ujue pia neema ni nyingi mno, ukiona mtu anajitolea kupigania dini, na hata kuua watu, tena kwa kujitoa mhanga, pia tujue hivi yupo mtu mmoja(Yesu), alijitoa mhanga ili watu wauone ufalme wa Mungu, kwa kuwa shetani yupo maana tunaziona kazi zake, pia Mungu yupo hata sasa anazidi kukamilisha idadi ya watu wake. Idadi ikikamilika tu, tutamuona Yesu mawinguni. Pengine ni wewe Yesu alikuwa anakusubiria ili utubu na kumuamini, na atakusamehe.
 
Kutokana na Thread uliyopost inaongelea kuhusu binadamu waliochomewa apartment yao

Atheist ni human being

Ni wewe na mwandishi uliyoifanya iwe ya deen

Who is not a human being? Naona umesha anza kupata maluwe luwe yako. Jibu swali atheist ni nini?

Second: Wewe unafanya nini kwenye thread ya deen bana? Hivi nyie wa deen ya atheist hamna cha kuchadili mpaka mtufuate?
 

Ndio unajua leo, si ndio maana wametoa waraka...
 

Mkuu asante sana kwa maneno mazuri uliyotayoa, Kweli Yesu alisema tuwapende na kuwaombea maadui zetu, Kinachoudhi ni kwamba adui huyu hakupi nafasi ya kumuombea kwa sababu anakuua, sasa ukishakufa utampendaje na kumuombea?

Sikubaliani na dhana kwamba solution ya kila adui ni maombi, ndio kuna adui wa kuombea na vilevile kuna adui ambae maombi yanatakiwa yaambatane na kuchukua hatua ya kushinda adui kwa kutumia nguvu.

In a world filled with sinful people (
Romans 3:10-1, war is inevitable. Sometimes the only way to keep sinful people from doing great harm to the innocent is by going to war and defeating them by force.

In the Old Testament, God ordered the Israelites to “take vengeance on the Midianites for the Israelites” (Numbers 31:2). Deuteronomy 20:16-17 declares, “However, in the cities of the nations the LORD your God is giving you as an inheritance, do not leave alive anything that breathes. Completely destroy them…as the LORD your God has commanded you.” Also, 1 Samuel 15:18 says, “Go and completely destroy those wicked people, the Amalekites; make war on them until you have wiped them out.” Obviously God is not against all war. Jesus is always in perfect agreement with the Father (John 10:30), so we cannot argue that war was only God’s will in the Old Testament. God does not change (Malachi 3:6; James 1:17).

Jesus’ second coming will be exceedingly violent. Revelation 19:11-21 describes the ultimate war with Christ, the conquering commander who judges and makes war “with justice” (v. 11). It’s going to be bloody (v. 13) and gory. The birds will eat the flesh of all those who oppose Him (v. 17-1. He has no compassion upon His enemies, whom He will conquer completely and consign to a “fiery lake of burning sulfur” (v. 20).


Kwa hiyo rafiki kuna adui wa kuombea na kuna adui wa kuombea na kuchukulia hatua.

 
Kasome kwanza upate uwelewa.
Atheist hatuna Imani.

Kutokuwa na Imani nayo ni Imani! Unajua maana ya Imani weye? Unaoneka umechagua Imani usiyoijua vema, ni afadhali ujiite Mpagani hapo utaeleweka vema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…