Chupi za kike zinauzwa

Chupi za kike zinauzwa

Nataka zile za kamba kamba za kuanikia nguo.sijui zinaitwaje
Zipo mkuu km zote
PhotoGrid_1602725102817.jpeg
PhotoGrid_1602725118188.jpeg
 
Nimetoa macho mwanzo mwisho ili nione kama una zile za tukamba kamba (G strings) ila sijaziona hivi unazo kweli?
Wengine tushasahau chupi zile ndio zenyewe!!
 
Nimetoa macho mwanzo mwisho ili nione kama una zile za tukamba kamba (G strings) ila sijaziona hivi unazo kweli?
Wengine tushasahau chupi zile ndio zenyewe!!
Zipo hapo juu kaziweka.mimi mwenyewe nilikodoa macho wee sikuziona😁😁
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom