Chupi, kigoli 4,500,000 tu kariakoo.

Chupi, kigoli 4,500,000 tu kariakoo.

fact only

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
975
Reaction score
1,356
Business issues.
Biashara ya chupi, boxer, vest na vingine Kama soksi n.k ni nzuri Sana Kuna kigoli kinapatikana kariakoo mtaa wa Msimbazi (Azania Bank) ni kigoli kizuri kwaajili ya biashara ya nguo za ndani ni pazuri biashara ipo. Pia utasidiwa kuonyeshwa machimbo ya kupata mzigo wa wewe kuuza Kwa jumla hata rejareja.

"YOU WIN WE WIN".
 
Attachments

  • Screenshot_20250517-181251~2.png
    Screenshot_20250517-181251~2.png
    1.1 MB · Views: 27
Business issues.
Biashara ya chupi, boxer, vest na vingine Kama soksi n.k ni nzuri Sana Kuna kigoli kinapatikana kariakoo mtaa wa Msimbazi (Azania Bank) ni kigoli kizuri kwaajili ya biashara ya nguo za ndani ni pazuri biashara ipo. Pia utasidiwa kuonyeshwa machimbo ya kupata mzigo wa wewe kuuza Kwa jumla hata rejareja.

"YOU WIN WE WIN".
Kigoli picha yake ipo juu Hapo Wakuu.
 
Business issues.
Biashara ya chupi, boxer, vest na vingine Kama soksi n.k ni nzuri Sana Kuna kigoli kinapatikana kariakoo mtaa wa Msimbazi (Azania Bank) ni kigoli kizuri kwaajili ya biashara ya nguo za ndani ni pazuri biashara ipo. Pia utasidiwa kuonyeshwa machimbo ya kupata mzigo wa wewe kuuza Kwa jumla hata rejareja.

"YOU WIN WE WIN".
Kkoo siku hiz hamna wateja wa frem hadi mnatafuta mitandaoni, dah kweli siku zinakimbia
 
Kuna chupi ambayo hata watekaji wana CCM wanaweza kujua ni GPS
 
Sasa mbezi kibamba, bunju, mbagala maduka ya kutosha kila kitu hatuwezi tena kwenda kariakoo
 
We kwa wachina tumuachie nani nyie endeleeni na expensive zenu sisi tunaenda kwa buku buku ...... Matajili wa kariakoo
 
Sasa mbezi kibamba, bunju, mbagala maduka ya kutosha kila kitu hatuwezi tena kwenda kariakoo
Sawa Mkuu wa oysterbay, Masaki, mbezi beach, Goba, mikocheni n.k watakuja kariakoo.
 
Back
Top Bottom