Chupi imeleta noma

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,096
Reaction score
165,910
Nyumba za kupanga bwana...!

Jamaa kapata demu akampeleka gheto. Nyumba yenyewe haina Ceiling board..! Katika kufanyiana Romance demu
Akachanganyikiwa, akaanza kuvua nguo fasta fasta, ikafikia zamu ya chupi akaona anachelewa akavua mguu mmoja, uliobaki akamalizia kwa kurusha teke, ile chupi ikaruka hadi chumba cha pili, ikadondokea kwenye ugali wa Baba Mwenye Nyumba....!
 
Naona wakati wa siasa umekwisha sasa. jamaa ajiandae kuhama tu.
 
Aaah hahahaaaa yaani nilikuwa nasinzia sasa usingizi umeisha kwa kicheko looh
 
Aitoe tu kisha aikunje vizuri aitie mfukoni for future use kama leso.
 
nilidhan kwenye mchuz,angekamua tu,akaiweka pemben,na mchuz ungenoga zaidi!ha haaa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…