sheremaya JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 4,925 Reaction score 12,436 Aug 11, 2019 #1 View attachment 1178028 Ewe mwanamke unapokwenda kwenye duka la vifungashio,iwe kununua chupi,blazia,nightdress n.k. Ni muhudumu yupi utapenda akuhudumie kati ya Mwanaume au Mwanamke !!! Kwanini akuhudumie mwanaume...... ? Kwanini akuhudumie mwanamke...... ? Ni muhudumu yupo unakua comfortable kumueleza hitaji lako la kifungashio..
View attachment 1178028 Ewe mwanamke unapokwenda kwenye duka la vifungashio,iwe kununua chupi,blazia,nightdress n.k. Ni muhudumu yupi utapenda akuhudumie kati ya Mwanaume au Mwanamke !!! Kwanini akuhudumie mwanaume...... ? Kwanini akuhudumie mwanamke...... ? Ni muhudumu yupo unakua comfortable kumueleza hitaji lako la kifungashio..