Kupata diploma?chuo gan kizuri cha afya kuna mtu anataka kupata diploma..
Inamaana nowadays kuna sehemu wanagawa diploma?????chuo gan kizuri cha afya kuna mtu anataka kupata diploma..
acha ubwege ..jamaa amesema chuo gani ili akasome apate diploma hajasema apewe bureInamaana nowadays kuna sehemu wanagawa diploma?????
Acha matusi mtoa mada Ndo kapuyangaacha ubwege ..jamaa amesema chuo gani ili akasome apate diploma hajasema apewe bure
chuo gan kizuri cha afya kuna mtu anataka kupata diploma..
asante ngoja niangalieVyuo vya afya kwa ngazi ya diploma vipo vingi sana karibu kila mkoa na karibu vyote vina ubora unaofanana inategemea huo ubora unazingatia vigezo gani na pia vinatoa kozi tofauti tofauti za afya
Ushauri wangu kama ni unataka kusoma maabara jaribu hiki MVUMI SCHOOL OF MEDICAL LABORATORY ASSISTANTS - DODOMA kinaweza kukufaa