mohammad_othar
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 247
- 42
Wapi pagumu zaidi wadau tupia maoni yako katika comment !!
ndugu yangu mimi advanced level nilisoma PCM Mzumbe na Ilboru...nakumbuka ikafika kipindi wakati nasubiri kuingia chuo nilikiri kwamba hakuna msuli mgumu kama wa advanced level...lakini nilipofika chuo mwaka wa 3 pale CoET nikajua kwamba chuo ni balaa kwa maoni yangu nadhani ugumu wa msuli unadepend na course unayosomaWapi pagumu zaidi wadau tupia maoni yako katika comment !!