K K007 Member Jan 30, 2011 52 3 Jun 28, 2012 #1 Wakuu issue zinaendaje jamani, nataka kujiunga na chuo kilichopo DODOMA mbali na UDOM, ni chuo gani kingine kilichopo hapo lakini ni kizuri na kiwe kimesajiliwa? Nataka kozi ya MASS COM! Please wakuu mwenye full info anisaidie hapo
Wakuu issue zinaendaje jamani, nataka kujiunga na chuo kilichopo DODOMA mbali na UDOM, ni chuo gani kingine kilichopo hapo lakini ni kizuri na kiwe kimesajiliwa? Nataka kozi ya MASS COM! Please wakuu mwenye full info anisaidie hapo