Aurelio_CSM
Member
- Oct 14, 2014
- 57
- 22
Hongera kwa kufaulu vizuri.Naomba msaada wa danjiwa vyuo vizuri private Kwa kozi ya clinical medicine, itakuwa vizuri kama hicho Chuo kipo karibu na hospital ama ni university college, marks zangu ni bios-A Chemistry-A Physics-C maths-D mengine yote nina C. Asante
Njoo MVUMI kwa dk SuzyMachame
Kolandoto
Mvumi
UDOM-diploma
Muhimbili-diploma
Bugando-diploma
Sijakuelewa, ina maana mimi suzy siku hizi?Njoo MVUMI kwa dk Suzy
We hujaelewa nimesema njoo MVUMI ukutane na dk SuzySijakuelewa, ina maana mimi suzy siku hizi?
Duh, kazi kweli kweli, unasema hivyo kwa kuwa "mganga hajigangi" et? sorry mimi ni daktari tayari na sasa na sina mpango wa kwenda kusoma tena zaidi ya kuacha kazi na kujiajiri. Hata ingekuwa kusoma Mvumi si level yangu-au siku hizi wanatoa masters hapo Mvumi?We hujaelewa nimesema njoo MVUMI ukutane na dk Suzy
Nenda muhimbili dogoNaomba msaada wa kutajiwa vyuo vizuri private Kwa kozi ya clinical medicine, itakuwa vizuri kama hicho Chuo kipo karibu na hospital ama ni university college, marks zangu ni bios-A Chemistry-A Physics-C maths-D mengine yote nina C. Asante
Hizo marks ni za form 6 au form 4? kama ni form 6 huna haja ya kwenda diploma, utapata degree, hata kama si muhimbili, utapata vyuo vingneNenda muhimbili dogo