Chuo kinachotoa degree ya Mass Communications holiday studies

DIFFENDA

Senior Member
Jun 23, 2013
110
38
Habari,

Ninaomba kujua chuo Tanzania kinachotoa degree ya Mass Communications kwa holiday studies, yaani unajisomea nyumbani unakuwa unaenda kufanya mtihani.

Ahsante
 
habari. ninaomba kujua chuo cha tz kinachoto degree ya mass communication kwa holiday studies yaani unajisomea nyumbAni unakuwa unaenda kufanya mtihani ahsante
Nenda Open University of Tanzania
 
Back
Top Bottom