Samahan wakubwa kwa mwenye kujua bei ya kupanga vyumba mwanza SAUTI mana kukaa hostel hawaruhusu kutumia Pasi wala tv sasa nataka kujua bei ya vyumba ni sh.ngap kwa mwaka yaan ghalama ndogo na kubwa ya chumba ni ni sh.ngapi
ASANTEN

Kuanzia laki 4 mkuu mpaka milioni.itategemea na hadhi ya chumba. Nakushauri uwahi mapema maana hostel huwa zinajaa.na ukae mtaa wa nyamalango usikae kwa masha