A
Anonymous
Guest
Naelekea Mwaka mmoja tangu nimemaliza masomo, ila nilibakiza research hapo Chuoni (Chuo Kikuu Huria). Nilipata kazi Uganda, kwahiyo nikaamua kubadilisha sehemu ninayotakiwa kufanya research yangu kuwa Uganda iwe rahisi zaidi.
Ajabu, ni Mwaka sasa, simu hazijibiwi, e-mails hazijibiwi, Ma-CR hawatoi ushirikiano wa kutosha, halafu huku Watu tunakosa kazi kiutanitani hivi hivi, kwasababu hakuna atakayekuajiri bila matokeo kamili (naishia kutumia cheti cha Diploma).
Hawa watu wanatukosea sana, yani sana.
Watu tunachakalika kutafuta ajira Botswana, South Africa halafu tunaharibiana vitu vidogo. Kwani tumewakosea nini hawa walimu wa pale Huria.
Ila ningejua nisingekanyaga hiki chuo, dharau zimezidi sana.
Serikali iboreshe mazingira ya Wanafunzi wanaofanya utafiti kwani hii siyo mara ya kwanza kuona malalamiko ya aina hiyo, kuna wengangu wengi tu ambao wameshalalamika mara nyingi bila hatua kuchukuliwa, inaonekana ni "biashara" ya kawaida kwa Wasimamizi kutengeneza mazingira hayo.
Pia soma:
~ ~ Serikali iangalie walimu wanaosimamia somo la Utafiti (Research) OPEN University, kuna mmoja ipo siku kitamkuta kitu
~ Ucheleweshwaji wa matokeo chuo kikuu huria(OUT)
~ Barua ya Wazi kwa Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
~ Madai ya Chuo Kikuu Huria (OUT) kutolipa Watumishi stahiki zao, Chuo chatoa ufafanuzi