Chuo kikuu huria, Diploma ya Business Management.

Chuo kikuu huria, Diploma ya Business Management.

Mr.genius

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
1,372
Reaction score
1,207
Heshima mbele wakuu, naomba kujuzwa kama hawa watu wa Open University (chuo kikuu huria) Kama wanatoa diploma ya Business Management. Nahitaji kusomea hiyo kozi lakini nina certificate ya General Agriculture. Na je, ninaweza kusomea hiyo kozi nikiwa huku Morogoro je, wana tawi lao hapa mjini?
 
Tafuta online hawa Cambridge tutorial college & university usome online diploma wapo vizuri
 
Back
Top Bottom