sabuhoro35
New Member
- Oct 10, 2017
- 1
- 1
Tangu mwaka 2015 chuo kimekuwa kinajaribu kupandisha ghalama za kusujiliwa chuoni,
Walianza kwa kutaka kupandisha pesa ya kulipia kwa siku kutoka tsh 500 kwa kila mwanachuo had I kufikia tsh 1000 lakini kila Mara walishindwa kulingana na ukinzani kutoka kwa wanafunzi kupitia viongozi wao.
Lakini naona mwaka huu unaokuja wa masomo yaani 2017/18 wanafanikisha lengo lao hasa baada ya viongozi wa wanafunzi kukubaliana na uongozi wa chuo bila kujali maoni ya wanachuo na kupandisha pesa ya kulipia kwa chumba kutoka tsh 500 hadi kufikia tsh 750 kwa siku kwa kila mwanafunzi anayeishi hosteli za chuo.
Cha kujiuliza ni kwann gharama hizi zinapanda wakati serikali yetu ya jamuhuri inajinadi kutetea wanyonge?
Chumba kimoja wanaishi watu 4 hivyo kwa siku chumba kitakuwa kinalipiwa tsh 750*4 = 3000 kwa siku ambayo ni sawa na 840,000 kwa wanafunzi wa kitivo cha afya wanaolazimika kuishi siku 280 kwa mwaka chuoni hapa.
Kwanini gharama zote hizi wakati Hanma Huduma ya maji ya kunywa richa ya kulipia gharama zote hizi?
Maji kwa matumizi binafisi ikiwemo kufua nguo n shida kwan hukatika kila Mara.
Usafi na miundo mbini ni aibu kwan muda mwingi vyoo ndani ya majengo n vichafu kutokana na miundombinu mibovu hivyo kupelekea harufu Kali kutoka vyooni.
Sababu wanazotoa kwa upandishaji huu;
A) Serikali kupunguza au kusitisha ruzuku.
B) Kuongezeka kwa gharama za uendeshaji wa chuo
C) Ukarabati mkubwa unaoendelea
Je, hii ni halali? Kwanini chuo kisibuni miradi ya kuhiendesha badala ya kutupandishia gharama wanachuo? Kwanini serikali isiingilie kati swala hili kama ilivyofanya kwa hosteli mpya za UDSM?
Kwa upande mwingine Richa ya kila mwanafunzi kutakiwa kulipia bima ya ya afya(NHIF) Ambayo hugharimu tsh 50400 kwa mwaka kwa wale ambao hawana bima kutokea kwao bado chuo kinalipisha tsh 25,000 kwa kila mwanafunzi kwa ajili ya gharama wanazoita medication fee amboyo haijulikani n ya kaz gani kwan kila mwachuo ana bima yake tayari.
Pia kuna malipo zamani iliaminika kwa ajili ya TCU lakini baadae ikawa inatwa quality assurance ambayo yanaghalimu tsh 20,000 kwa mwaka nayo haijulikani inafanya nini
Watoto wa watanzania maskini UDOM inatuumiza.
Tunaiomba serikali itupie jicho lake huku kwani tuna shida..
Na mpenda uwazi,
UDOM.